Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo
- IDadi ya shule za msingi tanzania
- Idadi ya walimu katika kila shule
- Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia
- takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita
- wilaya kila shule inakopatikana
- Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya