S sagamawe Senior Member Joined Aug 3, 2012 Posts 148 Reaction score 36 Mar 21, 2013 #1 Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo IDadi ya shule za msingi tanzania Idadi ya walimu katika kila shule Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita wilaya kila shule inakopatikana Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya Naomba msaada kujua nitazipata wapi
Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo IDadi ya shule za msingi tanzania Idadi ya walimu katika kila shule Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita wilaya kila shule inakopatikana Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya Naomba msaada kujua nitazipata wapi
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Mar 21, 2013 #2 Ni ngumu kupata kwani kwa sasa ELIMU haina mama wala baba kuna wizara ya elimu,wizara ya serikali za mikoa tamisemi,wizara ya utumishi,wizara ya fedha,waziri mkuu wote hao inabidi upite.jaribu mkurugenzi elimu ya sekondari na msingi
Ni ngumu kupata kwani kwa sasa ELIMU haina mama wala baba kuna wizara ya elimu,wizara ya serikali za mikoa tamisemi,wizara ya utumishi,wizara ya fedha,waziri mkuu wote hao inabidi upite.jaribu mkurugenzi elimu ya sekondari na msingi
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 532 Mar 21, 2013 #3 Jaribu hii hapa, hapa, na hapa.
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 532 Mar 21, 2013 #4 Piia pitia Index Mundi - Country Facts halafu search 'Tanzania' Hii report pia inaweza kuwa na majibu (pakua hapa) Huyu ameweka kuhusu idadi ya shule za sekondari ('05 - '09)
Piia pitia Index Mundi - Country Facts halafu search 'Tanzania' Hii report pia inaweza kuwa na majibu (pakua hapa) Huyu ameweka kuhusu idadi ya shule za sekondari ('05 - '09)
keulankubha Member Joined May 7, 2012 Posts 49 Reaction score 13 May 2, 2013 #5 Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo IDadi ya shule za msingi tanzania Idadi ya walimu katika kila shule Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita wilaya kila shule inakopatikana Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya Naomba msaada kujua nitazipata wapi
Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo IDadi ya shule za msingi tanzania Idadi ya walimu katika kila shule Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita wilaya kila shule inakopatikana Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya Naomba msaada kujua nitazipata wapi
F Firstborn lastson Member Joined Jan 1, 2013 Posts 74 Reaction score 8 May 3, 2013 #6 Kwann usitembelee web ya wizara ya elimu? Cdhan km n rahc mtu kuwa na hzo data kichwan.