Takwimu za Soka la Ulaya wiki hii, Haaland, Guardiola, Nuno, Mbappé

Takwimu za Soka la Ulaya wiki hii, Haaland, Guardiola, Nuno, Mbappé

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94

Manchester City imefungwa Magoli 40, ni mengi kwa timu hiyo kuwahi kufungwa ndani ya msimu mmoja katika Premier League chini ya Kocha Pep Guardiola, ndio kwanza tupo Mwezi Machi! Misimu iliyopita ilifungwa Magoli 33, 26, 32, 35, 35, 23, 27 na 30

Wakati Nottingham Forest ikimuajiri Nuno Espírito Santo kuwa Kocha, timu hiyo ilikuwa Nafasi ya 17 kwenye msimamo, baada ya michezo yake 50, timu ipo Nafasi ya 3 na kuna uwezekano ikafuzu kucheza UEFA Champions League.

Ni Wachezaji wawili tu wamefunga Magoli 20+ katika Ligi Kuu kubwa tano Ulaya ndani ya Misimu mitano iliyopota, nao ni Erling Haaland na Kylian Mbappé.

========​

Erling Haaland is the first player in Premier League history to reach 100 goal involvements in fewer than 100 appearances.

Manchester City have now conceded 40 league goals in 2024/25, their most ever in a Premier League campaign under Pep Guardiola.
And it's only March.

Erling Haaland is now the first EVER player to reach 100 Premier League goal involvements in less than 100 games.

He has 84 goals and 16 assists in 94 games. Unreal. 🤖

When Nottingham Forest hired Nuno Espírito Santo, they were 17th in the table with a points deduction looming.

After his 50th league game in charge, they are in 3rd place and on course to qualify for the Champions League.

Brighton's Premier League away record against Manchester City: LLLLLLLD They finally pick up a point at the Etihad.

Only two players have scored 20+ league goals in Europe's top five leagues in each of the last five seasons: ◎ Erling Haaland ◉ Kylian Mbappé The Frenchman is just the second player after Karim Benzema to score 20+ LaLiga goals in a single season for Real Madrid since.

Source: Squawka
 
Back
Top Bottom