Takwimu za talaka nchi mbalimbali

Takwimu za talaka nchi mbalimbali

Tanzania tupo pazuri sana, tupo chini asilimia moja. Vijana oweni hali bado shwarii
 
Hapa ndo nmepata jibu kwanini CR7 kagoma kabisa kufunga ndoa na Jojina, mama Mtoto wake, mwaka wa 10+ huu wanaishi TU Ila ndoa kagoma.
 
Wahindi ndoa zao nyingi Ni family oriented, kumuacha MKE uliepewa na familia Ni laana na familia haiwez kukuvumilia Maana unatafuta kuzifarakanisha familia mbili zenye background history kubwa uko nyuma
Aisee, taasisi ya ndoa inazidi kukanyagwa 😔Heko kwa wahindi
 
Kingine India talaka Ni ngumu maana kule wanawake wengi ni conservative, hakuna ufeminism sn.
 
Back
Top Bottom