Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Rasimu ya Katiba imepunguza mambo ya muungano kutoka 22 mpaka saba, kwa sasa mambo ya muungano yanaendeshwa kwa tsh 1.2 trilion kwa mwaka, hivyo sababu mambo yamepungua tunaamini yatapungua, kwa sasa wanakusanya trilion 4.5 kutoka kodi ya mapato na ushuru wa bidhaa.
Source: Raiamwema tr julai 31
"Vox populi vox dei"
Source: Raiamwema tr julai 31
"Vox populi vox dei"