Uchaguzi 2020 Takwimu zinaongea wazi kwa CCM kushinda 2020

Hata Mimi hiyo 'Takwimu' yako ya 'Ndotoni' naiona na kukubaliana nayo kwa 100% ila tatizo langu ni jinsi 'Mgombea' Wetu anavyohaha Kujinadi tu.
Acha upuuzi na upumbavu wako. Mgombea anaehaha kujinadi angetoa presentation nzuri kama hii leo hapa Mwanza? Hivi hizo faida za Twiga minerals unazifaidi kama nani wewe? Kwanza wewe sio mtanzania ni mkimbizi toka Rwanda.
 
Tunashukuru kwa yote aliyoyafanya ila safari hii tunamwajiri mwingine, mwambie asikasilike ajira za mkataba ndivyo zilivyo.
 
Angefanya yote hayo Lazima Angepata tuzo kutoka kwa MOHAMED IBRAHIM.

Badala yake alijikita kwenye Kuteka Kuua upinzani,kufunga mikutano ya kisiasa,kukandamiza na kufungia vyombo vya habari nk nk nk...

Alijaa matendo mengi maovu
 
ndani ya miaka mitano tayari tupo uchumi wakati ni kwa namna gani inaonesha serikali inatakwimu halisi na sio fake
 

Hzo ndiyo takwimuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kujenga treni ni takwimuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

 
Nafikiri mtu yoyote anayefikiri ushindi wa CCM ni wa haki ni kwasababu tu hajui ufedhuli uliofanywa na ccm kuwaengua wapinzani, matumizi makubwa ya nguvu au ni mtu asiyejali haki na demokrasia. Hao ndio wanaofurahia ushenzi wa ccm na kuona ni sawa tu.
 
Siku zote vitendo vinasauti
JPM anabebwa na matendo yake
Matendo gani? Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kijijini kwake kwa kutumia kodi za wananchi??? Tena kwa kampuni yake Mayanga construction??!!
 
Kilichofanyika na kuonekana pale Mwanza jiji la wasukuma pale!!!! Hiii wagosha!!!

Ningelikuwa ni Mimi mpinzani nayeomba nafasi ya uraisi, ilikuwa ni kusema, wewe Mzee bhana, malizia miaka yako tano basi, tena Kwa Moyo mweupe na kicheko juu, halafu tunaanza Kampeni za wabunge tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…