MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Acha uongo wewe, haujui chochote.Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Hayo machawa yapo toka zamani, kipindi kile yalikuwa yanalipwa Tsh. 7000/= na Lumumba sijui sasa hivi yamepandishiwa kima cha chini maana sio kwa kiherehere hikiJamiiforums imekua na maskini wa akili wengi kweli
MATUSI YA NINI? SI UJIBU HOJA? MNASHINDWA NINI NYIE VIJANAWewe ni boya kwelikweli> sasa ulitaka traore aipaishe Burkina faso kuwa na uchumi wa dunia ya kwanza ndani ya miaka mitatu? Kwanini kabla ya Traore ilikuwa na huo umaskini?
wenye akili tope kama hiyo yako hawana faida duniani. Kwamba unasahaui baada ya yale mapinduzi kama Burkina faso ipo katika vikwazo vya kimataifa na Kikanda ambao ni vibaraka?
Kabisa unakosa hata loop hole yakumsapoti mwamba , kwa sasa traore ni baba wa bara la afrika.Nilitamani niwe upande wako ila rafiki yangu wengi wa wachangiaji hapa wamekupinga na kukudharau na mbaya zaidi wamekulalua kama karatasi wacha na mimi niungane na wengi japo nisamehewe .
Wewe ni lijinga sana aisee
Mimi nimeweka takwimu/data/facts kuowaonyesha jinsi Ibra Traore ni wa kawaida sana tofauti na fake news zinazoenezwa kila siku pamoja na vikaragosi vya kumsifia mtandaoni vinavyosambazwa na watu wenye akili ndogo.Nilitamani niwe upande wako ila rafiki yangu wengi wa wachangiaji hapa wamekupinga na kukudharau na mbaya zaidi wamekulalua kama karatasi wacha na mimi niungane na wengi japo nisamehewe .
Wewe ni lijinga sana aisee
Propaganda za Wafaransa.Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Watu hujigamba katika mambo wasiyoyajua vizuri. Watu wanatakiwa wajigambe kama kiongozi wao anaweza kuleta teknolojia inayopeleka maendeleo mbele. Sasa amekaa tu na kutoa tano eti hiyo ndo sifa!!!Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Hata biashara binafsi hadi ziwe kubwa sio chini ya miaka mitano halafu iwe nchi? Tumpime kwa miaka mitano ya kwanza.Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Kuna uzi nimejibu kuwa jamaa wana muona ya nje haya ya kujiigiza ila ya ndani hatuyajuiHuyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Waafrika wengi ni kama wana ujinga wa kuzaliwa na kurithishana wa kushindwa kung'amua hata mambo mepesi kama propoganda na fake news za kumpamba huyu Ibra Traore.Watu hujigamba katika mambo wasiyoyajua vizuri. Watu wanatakiwa wajigambe kama kiongozi wao anaweza kuleta teknolojia inayopeleka maendeleo mbele. Sasa amekaa tu na kutoa tano eti hiyo ndo sifa!!!
Turudi kwa wabukinabe wenyewe wanasemaje kuhusu kiongozi wao. Vipi kuhusu maisha yao na mgawanyo wa keki ya taifa kwa sasa ukilinganisha na wakati wa tawala zilizopita? Mara nyingi GDP haiakisi maisha halisi ya kila raia huo ni wastani tu wa walionacho na wasionacho kuwekwa kwenye kaput moja lenye uwiano sawa.Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Unaakili za kuambia na kuongozwa na fikra za wazungu yaana mabeberu.Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Yaani miaka miwili afanye mageuzi hayo uyatakayo!?..una uelewa walau chembe wa uchumi!?Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Ni kilaza kama huyu boys wapo wengi sana bro. Mzigo sana kwa bara letuWewe ni boya kwelikweli> sasa ulitaka traore aipaishe Burkina faso kuwa na uchumi wa dunia ya kwanza ndani ya miaka mitatu? Kwanini kabla ya Traore ilikuwa na huo umaskini?