Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
Huezi pewa ela na IMF au WB alfu ukaja ukajenga Barabara na Company ya Africa Never Unakopa ela Marekani unafanya kazi na Company ya Marekani ama Ulaya kwa Ujumla Ela Haizunguki mbali na KwaoMajengo ya Umoja wa Africa Union(AU) yamejengwa na China.