Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Wafuasi wa Traore ndio wale wale wafuasi wa Magufuli,ndio wale wale Maga wa Afrika wafuasi wa Trump kitu pekee unachoweza kugundua kwa haraka toka kwao ni upeo finyu wa kufikiri na kuyatafakari mambo kwa kina na wanaendeshwa na mihemko mingi na conspiracy theories za kutosha.Kabisa unakosa hata loop hole yakumsapoti mwamba , kwa sasa traore ni baba wa bara la afrika.
Afrika inahitaji wananchi wanaoweza kufikiri vyema na kuchuja propaganda,uchafu na vitu vyenye ku make sense bila hivyo itaendelea kuwa dampo la yebo yebo za kichina na mapinduzi ya wehu.
N.b: Traore alisaidiwa mapinduzi na Wagner PMC( Wazungu wa mashariki) na analindwa na Wagner mpaka leo mpaka kesho siku warusi wakimchoka watamtema kama Assad yupo kulinda maslahi ya warusi magharibi mwa Afrika na masoja wenzake waliofanya mapinduzi kwa msaada wa Wagner PMC ya Urusi