Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

Miondombinu mingi ya Zimbabwe ilijengwa enzi za utawala wa wazungu, hata Zimbabwe imepangika vizuri sana kwa sababu ya wazungu walikuwa wanahusika pakubwa mpaka miaka ya 2000's Mugabe alipoanza kuvurugana nao.
Tema mate chini Yoda border imefunguliwa haina hata miezi mitano mkuu nazungumzia hii mpya ambayo wameweka mfumo wa kisasa hata kuweka taarifa zako hapo.
20250410_160823.jpg
 
Kwamba hio Hospitali itavunjika, mishahara ya civil servants watadaiwa walichopewa na Elites wanaochukua kikubwa watapewa Riba ?

Angalia what is done now sio ku predict kesho; kesho akienda ndivyo sivyo tutasema na kama Museveni did good yesterday haimaanishi leo akifanya baya asisemwe; Na zaidi ya yote mtu mmoja hawezi kufanya yote ila a good leader ni yule anayeunganisha nguvu za watu na kuwapa a feel good factor (mwenye Charisma) kuwafanya watu waweze kwenda mbele..,. Sasa yatakayotokea 10 years from now tungojee hio miaka kumi ili tujadili then...
Sikatai mazuri ambayo kayafanya, nachosema ni kwamba watu wa hili bara wamekuwa so demoralized kiasi kwamba they cling on kwa image ya kiongozi yoyote hata kama anafanya the most bare minimum
Of course inabidi tuongelee hawa viongozi wanaenda wapi, Judging by the fact kwamba Traole anatumia populist playbook of the past nadhani his future is as predictable like moth to a flame
 
Tema mate chini Yoda border imefunguliwa haina hata miezi mitano mkuu nazungumzia hii mpya ambayo wameweka mfumo wa kisasa hata kuweka taarifa zako hapo.View attachment 3312972
Mkuu, Zimbabwe haikapaswa kuwa nchi ya kujivunia kujenga border post enzi hizi tena. Hii ni nchi ambayo miaka ya 1980s na early 90's ilikuwa inategemewa kwa chakula na nchi jiranj na ilikuwa na sekta imara ya viwandani, ni aibu leo hii kujenga border post ambayo sio ajabu ni kwa mkopo wa Wachina yawe ndio mafaniko ya kutangazwa duniani kwa Zimbabwe.
 
Wewe achana na story za Sankara, hizo ni zilipendwa, kwa sasa tumzungumzie dogo Traore na nyimbo za sifa na mapambio anayoimbiwa Africa nzima kama inaakisi ukweli, uhalisia na anastahili.
Traole ni Zelensky aliyepoa
 
Wewe achana na story za Sankara, hizo ni zilipendwa, kwa sasa tumzungumzie dogo Traore na nyimbo za sifa na mapambio anayoimbiwa Africa nzima kama inaakisi ukweli, uhalisia na anastahili.
Sasa niachane na story za Sankara wakati anasema / wanasema yeye ni Sankara reincarnated ?

Na anapita mulemule alipopita Sankara na visions kama za Sankara na mwanzo mwisho ni against imperialism / neocolonialism; Anajumuika na watu kwa kuwapa amsha amsha; anajivunia U Burkinabe; Case in point kuondoa mavazi / mawigi ya kiingereza kwenye mahakama; In short anawapa watu identity and feel good factor.

In short that is all what is needed from a leader; Charisma, Motivation na Vision ya kutaka kuwapeleka watu sehemu fulani so long as watu hao wakielewa hio vision a job is partly done; Au unataka kiongozi afanye nini abebe matofari au binafsi yeye kama yeye abuni teknolojia ya vitu tofauti ? No what he should do is use the resources at his disposal and motivate his people to work...; And work with others to source funds kufanikisha mambo kwa manufaa ya watu wake...
 
Mkuu, Zimbabwe haikapaswa kuwa nchi ya kujivunia kujenga border post enzi hizi tena. Hii ni nchi ambayo miaka ya 1980s na early 90's ilikuwa inategemewa kwa chakula na nchi jiranj na ilikuwa na sekta imara ya viwandani, ni aibu leo hii kujenga border post ambayo sio ajabu ni kwa mkopo wa Wachina yawe ndio mafaniko ya kutangazwa duniani kwa Zimbabwe.
Border post bora inarahisisha gari kutokaa pale angalia Tunduma Truck inafika leo inatoka kesho kutwa kitu ambacho Zimbabwe hakipo unaweza kufika leo ukipima mizani tu na documents Agent ashamaliza na wao wanapata pesa nyingi kwa truck kupita hapo za Transit au za local achilia mbali hayo mambo wao bado Elimu yao ipo vizuri kuliko Nchi nyingi hata SA na UK inategemea sana vijana kutoka hapo kwa baadhi ya ajira.
 
Sasa niachane na story za Sankara wakati anasema / wanasema yeye ni Sankara reincarnated ?

Na anapita mulemule alipopita Sankara na visions kama za Sankara na mwanzo mwisho ni against imperialism / neocolonialism; Anajumuika na watu kwa kuwapa amsha amsha; anajivunia U Burkinabe; Case in point kuondoa mavazi / mawigi ya kiingereza kwenye mahakama; In short anawapa watu identity and feel good factor.

In short that is all what is needed from a leader; Charisma, Motivation na Vision ya kutaka kuwapeleka watu sehemu fulani so long as watu hao wakielewa hio vision a job is partly done; Au unataka kiongozi afanye nini abebe matofari au binafsi yeye kama yeye abuni teknolojia ya vitu tofauti ? No what he should do is use the resources at his disposal and motivate his people to work...; And work with others to source funds kufanikisha mambo kwa manufaa ya watu wake...
Imperialism na colonialism ni zilipendwa, sasa hivi Warusi, Wachina na Waarabu wanachota rasilimali za nchi nyingine vizuri tu kama ilivyokuwa West.
 
Wewe ni boya kwelikweli> sasa ulitaka traore aipaishe Burkina faso kuwa na uchumi wa dunia ya kwanza ndani ya miaka mitatu? Kwanini kabla ya Traore ilikuwa na huo umaskini?

wenye akili tope kama hiyo yako hawana faida duniani. Kwamba unasahaui baada ya yale mapinduzi kama Burkina faso ipo katika vikwazo vya kimataifa na Kikanda ambao ni vibaraka?
umemjibu vuzuri sana mpumbavu huyo.
 
Matokeo bado si ya kujivunia sana. Ila maneno na matendo yake ni vya 'kiukombozi.'
 
Hakuna mwujiza wa kiuchumi kiongozi anaweza fanya ndani ya miaka mitatu hasa kwa taifa dhaifu kama Burkina Faso. Mpaka hapo amejitahidi sana, huko mbeleni atafanya vizuri zaidi. Kujenga uchumi wa Taifa inahitaji misingi imara na muda wa kutosha.
 
Imperialism na colonialism ni zilipendwa,
Colonialisms haipo kuna Neo Colonialism na Imperialism na ndio Sankara alikuwa against huwezi kuwa against kitu ambacho hakipo waziwazi; kwahio zilipendwa sababu zimekwisha ?!!!
sasa hivi Warusi, Wachina na Waarabu wanachota rasilimali za nchi nyingine vizuri tu kama ilivyokuwa West.
Kwahio sababu ni wachina na waarabu na warusi ndio aache kupinga au sio imperialism tena ? Hao wachina na waarabu na warusi wanajaribu kuimplement policies kwa soft power ? Au kila mikataba ikifanyika na biashara na hao watu basi ni jambo baya ? Imperialism ni yale aliyokuwa anafanya USA na wengi walikuwa hawaoni ila sasa hivi Trump kawafumbua macho kwa kuyaweka on the open.

Imperialism is a policy or practice where one country exerts political, economic, and/or cultural control over another territory or people. This control is often achieved through military force or other forms of influence, resulting in the subjugation and exploitation of the subject territory or people.
 
Hakuna mwujiza wa kiuchumi kiongozi anaweza fanya ndani ya miaka mitatu hasa kwa taifa dhaifu kama Burkina Faso. Mpaka hapo amejitahidi sana, huko mbeleni atafanya vizuri zaidi. Kujenga uchumi wa Taifa inahitaji misingi imara na muda wa kutosha.
Hata akikaa miaka 5, 7, 10, 15, 20 na kuendelea hawezi kufanya maajabu au miujiza yoyote. Na hiyo ni kama wenzake hawatampindua maana hata uchaguzi hataki kuitisha tena.
 
Wewe ni boya kwelikweli> sasa ulitaka traore aipaishe Burkina faso kuwa na uchumi wa dunia ya kwanza ndani ya miaka mitatu? Kwanini kabla ya Traore ilikuwa na huo umaskini?

wenye akili tope kama hiyo yako hawana faida duniani. Kwamba unasahaui baada ya yale mapinduzi kama Burkina faso ipo katika vikwazo vya kimataifa na Kikanda ambao ni vibaraka?


Vijana wa kitanzania kutoa hoja bila kutukana hamuwezi ... Hii ni dalili kubwa kabisa ya incompetence and inconvenience.

Mtu mwenye hoja hutoa hoja bila dhihaka Ila empty head utaona anahamia kutukana watu badala ya kuweka hoja zake pia mezani.
 
hao waliokuwepo kabla ya traore ukimundoa Thomas Sankara walifanya nini?
 
Labda hatuna ujuzi juu ya kiongozi ni Nani (kwa maana ya kimajukumu) na anaitikia vipi ktk title husika ( kazi yake haswa ni ipi. )

Kiongozi hagawi hela kwa watu as Hana kwakuzichota.

Kiongozi haombei watu miujiza kwamba ahsubuhi nchi ijikute yote imebarikiwa na Kila mtu anamiliki gari na nyumba Safi.

Maana ya Kiongozi (kimajukumu) imeegama zaidi katika kutoa maono na uhamasishaji kuyaelekea maono husika. (Visions and motivations toward accomplishing or meeting the over laid visions )

Sasa wananchi wao wenyewe na mioli yao wanaowajibu wa ku make folup kwenye mipango husika na kuonyesha uungwaji mkono kwa motives anazozitoa kiongozi na hivyo wao ndo wanabeba Ile mission ya kukamirisha visions zilizotolewa ...

Hivyo njoo tuangalie visions na motivations kwa Wana Burkina Faso zipo ???
Zinatolewa kwa WEREDI na uradidi ??

Kama zipo basi achana na traore wageukie wananchi wake waambie wakaze Tako... Wamwitikie kiongozi vizuri sawa na maono mema na uhamasishaji wake chanya ....

On 10 to 15 yrs ndipo wataona matokeo ya hizo visions na motivations. Sio Juzi tu wametoka kudeal na wanamgambo Mara njaa Mara Nini .. traore kachukua selikari Juzi ahsubuhi af Leo mnataka matunda....

Af matunda yenyewe mnataka Traore ndo awape ... Nyinyi ..... anayachuma wapi ?

Maendeleo ni mchakato .. Sio Kila kitu tu kinaiva chap Kama chai... Hapana tundra linapandwa linamea, linakomaa, linazaa watoto, wanaiva then wanalipwa kwa kuanguliwa au kuondoka .

Nikuskie Tena ntakuramba kibao Cha shingo utapike hiyo roho yako mbaya. 🙏🥴🥴🥴🙏
 
Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.

Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.

GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.

Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.

Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Kawaida viongozi wapuuzi wapuuzi wqpenda sifa za kijinga hukubalika zaidi Afrika bila sababu.

Nilicho gundua kundi kubwa la watu Afrika halitumia kisawia bongo zao katika kufikiri vyema.

Au wenda ni kweli Afrika IQ level ipo chini sana
 
Hajalipa madeni yoyote, huo ni uongo mtupu.Ukuaji wa GDP ya Burkinafaso chini ya utawala wa Ibra ni sawa na ukuaji wa GDP wa Somalia.
Magu aliongeza dola ngapi kwenye GDP kwa miaka mitatu?
 
Back
Top Bottom