Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

Yaani miaka miwili afanye mageuzi hayo uyatakayo!?..una uelewa walau chembe wa uchumi!?
Anakaribia kumaliza miaka mitatu sasa madarakani.
Kwa hiyo anasifiwa kwa kipi sasa alichofanya katika miaka mitatu hadi wajinga wanasema Waafrika wote waandamane hadi Burknafso kumlinda??
 
Anakaribia kumaliza miaka mitatu sasa madarakani.
Kwa hiyo anasifiwa kwa kipi sasa alichofanya katika miaka mitatu hadi wajinga wanasema Waafrika wote waandamane hadi Burknafso kumlinda??
Miaka miwili,kuongeza gdp kwa kiasi hicho kajitahidi sana,hapo kalipa na madeni ya mabeberu, kujenga uchumi na athari kuonekana si chini ya miaka mitano, uchumi wa jakaya ulinoga 2012, miaka saba baada ya kushika hatamu
 
Leta takwimu zozote za maana kuthibitisha Ibra Traore anahitaji kusifiwa hata kidogo. Ni wajinga tu ndio wanaowasifa Trump, Putin na Netanyahu, kwa mtu mwenye akili hawa ni viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika mataifa yao na dunia kwa ujumla.
 
Watanzania wengi na watu wa kuchukulia mambo juu juu, kisa wanaona Traole anavaa kombati muda wote basi wanadhani roho ya Patrice Lumumba imefufuka upya
Sisi tuliosoma Cuba tunatambua Traole yupo hapo kwasababu ya mgogoro kati ya Urusi na France juu ya Makoloni ya Afrika ; kiufupi Suga Daddy Ufaransa ni mnyanyasaji sana; anakufungulia duka nyumbani kwako unampatia mchezo ila mapato yote anakusanya afu anakutumia pesa ya matumizi , yaani duka lako mwenyewe kwenye ardhi yako hela anachukua yeye anakupunguzia
Hivyo Traole kuitafutia Nchini yake sugadaddy wengine (Mrusi na Mchina)
 
Miaka miwili,kuongeza gdp kwa kiasi hicho kajitahidi sana,hapo kalipa na madeni ya mabeberu, kujenga uchumi na athari kuonekana si chini ya miaka mitano, uchumi wa jakaya ulinoga 2012, miaka saba baada ya kushika hatamu
Hajalipa madeni yoyote, huo ni uongo mtupu.Ukuaji wa GDP ya Burkinafaso chini ya utawala wa Ibra ni sawa na ukuaji wa GDP wa Somalia.
 
Nilitamani niwe upande wako ila rafiki yangu wengi wa wachangiaji hapa wamekupinga na kukudharau na mbaya zaidi wamekulalua kama karatasi wacha na mimi niungane na wengi japo nisamehewe .

Wewe ni lijinga sana aisee
Unajua unaweza kupata kesi kwa kumsababishia mtu maumivu ya mbavu kwa kucheka hii hatari sana aisee daah nimecheka sana..
 
Vijana wa bongo hawawezi kuelewa huu ukweli mchungu, wamebaki na porojo za fake news za mitandaoni tu zinazozalishwa na Waafrika wajinga na wapumbavu walio na vichwa vikubwa kama matikiti maji.
 
Kilichobadilika chini ya utawala wa Traole ni kitu kimoja very simple: Sugar Daddy Ufaransa kapigwa kibuti na katafutwa mwingine (Urusi/China)
 
Yoda vitu vingine achana navyo tu ndugu yangu hakuna kitu umeandika hapo ukiweza futa hata Uzi wenyewe watakuja kutushangaa vijana huko mbele kuwa mbona hawa jamaa walidumaa hivi..
Mkuu nitaufuta huu uzi endapo tu mtu atakuja na takwimu/data/facts nyingine zinazoonyesha haya niliyosema ni uongo na kuonyesha jinsi gani Burkina Faso chini ya Ibra imekuwa nchi ya asali na maziwa. Haiwezekani kulea ujinga wa kudumu wa Waafrika.
 
Nitaenda Misaa yaTatu njoo mkuu
 
Hakuna mtu aliyeleta facts kuhusu ubaya wa huyu mtu
 
Kilichobadilika chini ya utawala wa Traole ni kitu kimoja very simple: Sugar Daddy Ufaransa kapigwa kibuti na katafutwa mwingine (Urusi/China)
Uko sahihi mkuu, pia sugar daddy wengine wa sizi ya kati kama Canada na Australia bado wapo wanachimba madini na kuwalipa watawala 10%.
 
Mkuu nitaufuta huu uzi endapo tu mtu atakuja na takwimu/data/facts nyingine zinazoonyesha haya niliyosema ni uongo na kuonyesha jinsi gani Burkina Faso chini ya Ibra imekuwa nchi ya asali na maziwa. Haiwezekani kulea ujinga wa kudumu wa Waafrika.
Mkuu China unayoiona imeendelea leo walianza mbali sana hayo anayofanya Traore ni daraja la maendeleo ya baadae unavyoona Nchi zimeendelea zilipitia kwenye mifumo kama ya Traore ni vizazi na vizazi ni bora yeye kaanza kuliko sisi tuliolala haujui lini tutaamka harafu unamuanziashia Uzi ni kumkosea sana sana..
 
Vijana wa aina yako ni hasara kubwa sana katikaki ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…