Talaka haina umri! Watalikiana baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka 77

Talaka haina umri! Watalikiana baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka 77

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ndio dunia!

Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo.

Sasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipi.

IMG_5169.jpg
 
Mkiona tu picha mnatafuta story ya kuunganishia dahh
 
Onyo: Do not believe everything you see on internet.
 
Back
Top Bottom