chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 May 9, 2021 #1 Ndio dunia! Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo. Sasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipi.
Ndio dunia! Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo. Sasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipi.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 May 9, 2021 #2 Mkiona tu picha mnatafuta story ya kuunganishia dahh
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 May 9, 2021 #3 Duuh,chai hii
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 May 9, 2021 #4 Hao wazee wana matatizo hao....tena wanatafuta vifo vya lazima.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 May 9, 2021 #5 chizcom said: Ndio dunia! Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo. RrirSasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipiView attachment 1778549 Click to expand... Hatari mkuu wapi hiyo?
chizcom said: Ndio dunia! Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo. RrirSasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipiView attachment 1778549 Click to expand... Hatari mkuu wapi hiyo?
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Oct 13, 2021 #6 Makubwa haya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 14, 2021 #7 Hawana akili...
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Oct 14, 2021 #8 Mimi nadhan wapimwe akili kama ziko sawa
Son.j JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 1,010 Reaction score 2,356 Oct 14, 2021 #9 Onyo: Do not believe everything you see on internet.