Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches

😅😅😅
 
😂😂😂😂😂😂

Hahahahaaa Mange anasumbuliwa na stress sana.
Juzi aliweka picha akiwa analia,halafu akafuta akaacha moja.
Baadae akajitetea eti ilikuwa kuhusu msiba!
Msiba ndio afute picha?
Na kwani msiba una ajabu gani hadi aseme kuwa ni wakati wake wa kushea nyakati za huzuni?
Huyu mwanamke anayaokota mataahira yake huko IG sio huku.

Yeah,nakumbuka ulionya na sasa kashikwa kwelikweli hadi kaanza kufunguka taratibu.

Karibu Ben.
Ulikuwaga unachamba balaa😂😂🙆‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulikuchaaa humuu. Woiiiiiiih
 
aiseee watu walikuwa wakimtabiria kwamba anarudi bongo lakini wapi mpaka Leo anaendelea kuwapiga spana, kuna mtu naye alisema serikali ipo katika hatua za mwisho kubadilisha na wafungwa hiyo mange atarudishwa nchini ule uzi sijui Upo wapi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania wangekua wabishi kama Mange sahivi bongo ingekua ulaya...
Respect Mange
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania wangekua wabishi kama Mange sahivi bongo ingekua ulaya...
Respect Mange
Mimi mange anachoniuzi ni kudharirisha watu picha zao, ila huwa ninaamini mange anashirikiana na watu wa serikalini tena vigogo kupata habari nyeti. Embu fikiria kipindi kile watu wanamtuhumu Lissu kusapoti ushoga alikuwa ana mhug askofu bangoza kama sijakosea, baadae mange akapost picha ya makonda kashikana na mzungu wanatoka kwenye chumba hotel nyota tano.
Mange anapata pesa nyingi sana kwenye maudhui ya ngono, kuna mshikaji alikuwa ananiambia rafiki yake alikuwa anafanya kazi na mange kimambi kwenye yale mambo ya connection, unaambiwa koneksheni ikitoka watu karibia laki4 wanaenda kulipia buku buku . Alivyofungiwa akaunti yake ya kwanza akafungua mpya ndani ya wiki anafollowers 1+M .
Huyu dada anachoniuzi ni picha za watu za uchi anaumiza wengi sana
 
Back
Top Bottom