Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

😅😅😅
 
😂😂😂😂😂😂
 
Ulikuwaga unachamba balaa😂😂🙆‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulikuchaaa humuu. Woiiiiiiih
 
aiseee watu walikuwa wakimtabiria kwamba anarudi bongo lakini wapi mpaka Leo anaendelea kuwapiga spana, kuna mtu naye alisema serikali ipo katika hatua za mwisho kubadilisha na wafungwa hiyo mange atarudishwa nchini ule uzi sijui Upo wapi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania wangekua wabishi kama Mange sahivi bongo ingekua ulaya...
Respect Mange
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watanzania wangekua wabishi kama Mange sahivi bongo ingekua ulaya...
Respect Mange
Mimi mange anachoniuzi ni kudharirisha watu picha zao, ila huwa ninaamini mange anashirikiana na watu wa serikalini tena vigogo kupata habari nyeti. Embu fikiria kipindi kile watu wanamtuhumu Lissu kusapoti ushoga alikuwa ana mhug askofu bangoza kama sijakosea, baadae mange akapost picha ya makonda kashikana na mzungu wanatoka kwenye chumba hotel nyota tano.
Mange anapata pesa nyingi sana kwenye maudhui ya ngono, kuna mshikaji alikuwa ananiambia rafiki yake alikuwa anafanya kazi na mange kimambi kwenye yale mambo ya connection, unaambiwa koneksheni ikitoka watu karibia laki4 wanaenda kulipia buku buku . Alivyofungiwa akaunti yake ya kwanza akafungua mpya ndani ya wiki anafollowers 1+M .
Huyu dada anachoniuzi ni picha za watu za uchi anaumiza wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…