Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Watu wanatumia nguvu nyingi kumsakama mange lakn hawamuwezi vichambo vyake ni high class na huwa anaongea kwa fact
 
Hahaaaa nyie watu bana.

Hivi huo ugomvi hauishagi tu?

Manake mambo huwa yanapoa halafu yanarudi tena.

Sasa naona yamerudi tena.

Khatari kweli kweli yaani!

My Comrade

Nyani Ngabu

Huyu Dada aliwahi kuwadhalilisha sana Watanzania wa US.

Ila niliwahi kusema haya maisha ya kishamba ya kutukana hata watu asiowajua yatamtokea puani soon
 

Mwalimu Kichuguu,

Alikuja akawakuta ninyi wakongwe akavamia kwa pupa za kiswahili

Lakini kuna matatizo ya kisaikolojia pia yanaweza yakaathiri tabia za mtu.Maana maisha ya dramma kama haya yanaweza kuwa yanachangiwa na historical background
 
Mwalimu Kichuguu,

Alikuja akawakuta ninyi wakongwe akavamia kwa pupa za kiswahili

Lakini kuna matatizo ya kisaikolojia pia yanaweza yakaathiri tabia za mtu.Maana maisha ya dramma kama haya yanaweza kuwa yanachangiwa na historical background

Aliishi kwa dhiki sana Marekani wakati anajifungua binti yake, sasa alipoingia mara ya pili akiwa mke wa mmarekani na vibali halali alitaka kuwakomesha wale wote waliomcheka. Alianza kuweka picha hata akinunua toothpick na toilet paper.
 
Mi napendaga tu haiba yake, hakuna kama mange miaka mia
 
Mpenzi Ayanda,tutaonana baada ya Iftar...
Ni rrrrrraaaaaahaaaa!
Uwiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpenzi Ayanda,tutaonana baada ya Iftar...
Ni rrrrrraaaaaahaaaa!
Uwiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usijali mami[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Eti for the first time she is really happy so she doesn't feel she needs to share with the world mazafanta ulikuwa unapost kila siku unasema uko happy kumbe unazuga hahahaaa kichaa chako hata mirembe hawana dawa yake
 
Majanga mbona majanga,cha ajabu yupo busy na kumsema magufuli,huku nyumbani kwake mwenyewe hapajatulia,Mange najua unasoma hapa,kasome hata nursing Mange,na ujikite na familia yako,hivi jamani unalea watoto saa ngapi?maana hizo insha unazoandika insta ni balaa,jamani nimechoka kwa ,ila hii ya kupublish chats zako na mmeo ndo nimechoka kabisa,halafu hii ya mmeo kuside na mahater wako,yaani usipoangalia utacommit suicide,jitoe kwenye mitandao walau kwa muda
 
unakumbuka nilipokuwa namchana Lemutuz ulinishukia kama mwewe ,mkuu kuna watu wanatakiwa kupewa laana si maombi Lemutuz plus Mange baba moja tu
Le mutuz hafanani na Mange le mutuz anaishi maisha yake hana time na mtu ila ukiingilia lifestyle yake ndio lazima mpambane pia le mutuz ni mtu wa kupigania maslahi yake ukimgusa mwenye maslahi yake lazima aingie kutetea. Mange ni mtukanaji na mfatiliaji wa maisha ya watu na mpenda kuona maisha ya wenzie yanakuwa mabaya ni mtu aliyeumiza watu wengi kupitia maandishi yake na huu ni mwanzo tu ana mwisho mbaya sana hapa duniani kaonea wengi.
 
Hiyo chance aliipoteza alipoingia tu USA na da Zenat. Angejua kuna wadada wa kawaida wala hawajulikani, kupanda pipa tu ilibidi kiwanja/shamba liuzwe ili waende Marekani lakini wamefanya ya ajabu, wana career zao na nyumbani wamefanya makubwa. Haya mambo ya usuper star hayana faida.
 

In her dreams she was a celebrity dear. Alikuwa anagawa viatu kwa fans wake akipeleka maroronya yake ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…