Ila bwana Lance na yeye kajitakia, maana eneo aliyo muibua huyu dada alipaswa kujua ni mawindoni. Enzi za blog huyu mwanamama anayejisahau anachoandika mpaka anaji contradict mwenyewe, aliwahi kusema alipokuwa Dubai, alihama mji aliofikia kwasababu suitors wengi walikuwa ni wababa wa kinaija, mpaka mjumba aliokuwa anashare na wawindaji wenzake akatupostia. Ndio hapo sasa akawa anatoa tuition kwa wadada zetu namna ya kuwinda white rich guys kama alivyo muwinda bw. shemeji. Character za namna hii siyo za kuoa, hawajazoea kujenga familia.