Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hiyo chance aliipoteza alipoingia tu USA na da Zenat. Angejua kuna wadada wa kawaida wala hawajulikani, kupanda pipa tu ilibidi kiwanja/shamba liuzwe ili waende Marekani lakini wamefanya ya ajabu, wana career zao na nyumbani wamefanya makubwa. Haya mambo ya usuper star hayana faida.
kweli kabisa,maisha ya kuishi ili uwafurahishe watu wa insta wapi na wapi?hivi mimi najiuliza howa naweza ishi marekani tena legaly kabisa,halafu sina kazi?big non,tena mhamiaji maana najua lazima nikaze uzi ili kutoboa,sasa yeye akaishia kutuonyesha Porche ,hahahaha kumbe ya mkopo,sasa kurudisha deni kumewatafuna mpaka wakwe wameuza bangaloo lao,jamani wanaume nao waangaliage watu wa kuoa.
 
Imagine mpaka mume anaamua kuwa side ya haters wako kwelii?? Ujue una matatizo yalopitikizaa na jinsi alivyokichaa atakuja kuwaambia wale fans wake vichaa kuhusu mumewe alivyo hajatahiriwa maana alikuwa haishi kuwaambia marafiki zake wa zamani, sasa sijui alikuwa anawaambia wa nini mtu umemvulia nguo na kumzalia watoto wawili. Jamani wanaume ni vizuri kuwa makini na kuchagua mke wa kuoa kuna wengine ni majini kash kash Kama hili.
 
Mpenzi nimepitwa nini kinaendelea hapa,mange kakiri kuachana na mmewe au??
kichwa panzi alipost evidence ambayo inaonyesha mumewe alifile divorce mwanzoni mwa mwezi huu sasa bi dada amepanic kamwaga mchele kumbe ndoa haipo long time, ila kajitapa kashapata kibabu....yaani kujitapa kote kule kwamba haachwi ni uwongo!!
 
KANIACHA HOI KUMPELEKA POLISI LANCE
 
Teh teh teh jamanii...
hadi raha.ukitoa banzi lililopo ktk jicho la mwenzio ujue wewe unaguboroti jichoni mwako!!!
haya sasa ngoja wagutoe...
 
natafuta said:
yaani nimezimia siamini hizi habare
Hizi habari za mudaaa sema siunajua wazungu wanaweza kutoa second chance, sasa alipewa chances zaidi yeye akawa anajiona mwamba sasa mzungu anatishia kumwaga habari zooote hadharani ha ha ha haha jamaa kachoshwa ujue.
 
Alipopewa 2nd chance alifikiri zile dawa za mganga zimekubali.😀😀😀😀
 
Ninadhani kupoteza title ya muke ya mzungu inamuuma zaidi kuliko kumpoteza Lance.
Tena muke ya muzungu kijana, jana sijui ni kuchanganyikia alikuwa anaropoka ropoka tu, akasahau kuwa alishawatukana wooote wanaodate vibabu, kadai nae anakibabu cha kumuweka mujini so tusitegemee kufulia, sasa sijui alikuwa nacho before au kakipata baada ya hakimu kugonga kile kirungu chake mezani, kuwa Lance is a free man
 
Sipati picha angepata zali la kuolewa na mzee Machache ingekuwaje.
 
Ila bwana Lance na yeye kajitakia, maana eneo aliyo muibua huyu dada alipaswa kujua ni mawindoni. Enzi za blog huyu mwanamama anayejisahau anachoandika mpaka anaji contradict mwenyewe, aliwahi kusema alipokuwa Dubai, alihama mji aliofikia kwasababu suitors wengi walikuwa ni wababa wa kinaija, mpaka mjumba aliokuwa anashare na wawindaji wenzake akatupostia. Ndio hapo sasa akawa anatoa tuition kwa wadada zetu namna ya kuwinda white rich guys kama alivyo muwinda bw. shemeji. Character za namna hii siyo za kuoa, hawajazoea kujenga familia.
 
Si unajua mitoto ya mama inavyoingia mazima. Lance alikuwa anafikiria kwa kichwa cha pili mpaka anaoa. Huyu mzoefu ni manipulative alishaishi na jamaa akagundua weaknesses na strengths zake. Alitaka mmarekani apate green card na amempata.
 
Ila bwana Lance na yeye kajitakia, maana eneo aliyo muibua huyu dada alipaswa kujua ni mawindoni. Enzi za blog huyu mwanamama anayejisahau anachoandika mpaka anaji contradict mwenyewe, aliwahi kusema alipokuwa Dubai, alihama mji aliofikia kwasababu suitors wengi walikuwa ni wababa wa kinaija, mpaka mjumba aliokuwa anashare na wawindaji wenzake akatupostia. Ndio hapo sasa akawa anatoa tuition kwa wadada zetu namna ya kuwinda white rich guys kama alivyo muwinda bw. shemeji. Character za namna hii siyo za kuoa, hawajazoea kujenga familia.
kwanini ameachwa kwanza? nasikia alimpiga hata mama mkwe
 
Back
Top Bottom