3. Adeline Mushi – This might come as shock to many ,Adeline ni mtu mzuri mnooooooooooooo kama rafiki yupo very loyal. Kusema ukweli nilimpenda sana Adeline and yes ni mtu ambae naweza kurudiana nae urafiki anytime tena ukawa urafiki mzuri kama wa zamani maana kusema ukweli the only reason sasa hivi siongei na Adeline ni vile tu anafata mkumbo ila mimi na yeye hatuna beef. Jamani Adeline ni mtu poa sana, mcheshi sana and very real,she is not fake. She is crazy anachekesha ukikaa nae utacheka mpaka ukojoee sometimes huwa namiss vituko vyake…hahahaa… Ila ukiwa rafiki na Adeline uwe na pesa zako mambo ya offer au kuomba kukopa elfu 10 ukome, huyu ni mchaga ni mbahili hujapata kuona. Kama ni mtu wa kutegemea marafiki kipesa kwa Adeline mtashindwana siki mbili tu…hahahahahah….. Ila I like her alot na ana roho nzuri sana ni mtu wa kujitoa kwa marafiki ila tu usiwe mtu wa kuomba omba ovyo. Kwa kweli sidhani kama I owe Adeline an apology au kama yeye anatakiwa kuniomba sorry. Hata kipindi kile nilichombonda huku nna mimba haki ya nani tulidundana sababu tu mie nilikuwa mjamzito + nna kigugumizi so hasira zilikuwa usoni. Alikuwa anaongea sana alafu hanipi chance hata ya kumjibu ananisuta tuuu alafu watu wamejaa, tulikuwa dukani kwa Kiki tena. Also yeye hakuja pale kupigana, alikuja kunipa a piece of her mind ila hakujua kuwa hasira za mimba + kushindwa kuongea hata sentensi moja kungetufikisha pale…
4. Cynthia Masasi – Huyu aisee nilishapatana nae tena kwa kibahati mbaya tu au labda Ledi Peti alituchezea mchezo ila sijui ni nguvu za yesu ila ledi peti kama alituchanganya hivi tukajikuta tunachat whatsapp… Yani we were more than cool mpaka nimeondoka Bongo nimekuja Marekani tuko poa kishenzi ,mara kanichunia out of nowhere, ha!! Ndo nakuja kuambiwa kawa rafiki na kina Kiki so na yeye akajoin mkumbo, hahahahaha….. Then later on nikaja kuambiwa kuwa sio kama alifata mkumbo ila Nacky alimwambia Cynthia na Doreen Njuwa kuwa mimi nilikuwaga nawasema sana…. Jamani sijakataa kuwasema ila sasa sikuwa naongea peke yangu mimi na Nacky tulikuwa tunawateta pamoja eti kaenda kunisemea mimi yeye hajajisemea. Na pia nilimsema kipindi cha beef im sure hata yeye alinisema. Anyways, i didnt bother kumuuliza kwa nini kanichunia maana nilimuona ni mtu feki tu nae kama kweli angekuwa mtu mzuri angeniuliza kwanza. So na mie nikasema kama hakuniuliza why mie nimuulize. So huyu sina beef nae na mtu ambae huko mbeleni naweza peana nae hie and I dont think either of us anatakiwa kuomba sorry ila pia ni mtu wa kupeana nae hie basi maana I think ni mtu wa kukurupuka sana.
5. Sinta – Huyu kusema ukweli ni mtu ambae I feel like she need to apologize to me if ever nitakaa kusameheana nae. Mimi ni mtu wa kuomba msamaha pale napokosea. So huyu siku akijiskia yupo tayari kuomba msamaha nitasameheana nae na tutaheshimiana. Huyo aliingia kwenye unafki wa mama sembe na kumpampiwa akaanza kunitusi , sijui alidhani yeye ndo angeninyoosha,hahaha. Mimi sina problem na blogging yake maana blogging yake alikuwa anajaribu kuni copy mimi exactly. Yani alitaka awe kama Mange kila kituuu mpaka kabila… Hahhhahahha….. Ila nilimwambia wewe hiyo blogging kama ya Mange kwa TANZANIA itaku cost, hutoolewa ,hutokuwa na BF na ni hayo mpaka leo hii yupo single. Hakuna mwanaume wa kibongo anaweza kuoa mwanamke controversial , hawaweziiii. Na matokeo yake ndo hayo anajizeekea mwenyewe kwa mambo ya kuiga tembo kunya…hahahhaa…Ila Sinta mtu poa hana shida ni vile alidhani anamfurahisha mama sembe kwa kuanzisha balaa na mimi….
5. Eve Collections – Huyu dada , I think nilimkosea and I do need to apologize to her someday. Kupewa mahela na baba yake haimfanyi yeye kuwa fisadi. Pale nilichemka na siku moja ntamuomba msamaha. By the way sijuani na Eve ,sidhani hata kama nishawahi muona Live so hata nisipomuomba sorry its not like Im missing kitu ila ni ile kibinadamu , nilimkosea na natakiwa kumuomba msamaha.
6. Sophy Byanaku – Sophy yupo poa, last time nilivyokuwa Dar, Nov 2014 nilikutana nae Hyatt na tulipooNana tena kwa kupishana uso kwa uso tukajikuta wote tumesimama na kuanza kusalimiana yani hakuna aliemgonja mwenzie amuanze yani tulijikuta tu tunahamu ya kusalimiana na kuongea kidogo. It was genuine,yani We didnt even need to discuss nini kilichowahi kutokea , in short tulivyonana face face tulijuwa although we might not keep in touch or follow each other on IG sisi hatujawahi kugombana ni vile tu mambo ya magroup……
7. Chaya Shelukindo – For some reason nilikuwa naamini kuwa Chaya ana bonge la beef na mimi. Ila pia nilikutana nae Hyatt same day nilivyokutana na Sophie last time nilivyokuwa TZ , uwiii alinichangamkia as if nothing ever happened, kwanza nilikuwa in shock maana siku expect Chaya kunichangamkia vile, mpaka tuka hug,yani nilikuwa nimesikia maneno mengi mno kiasi kwamba siku expect Chaya kuniongelesha much less kunichangamkia ,tena alikuja hadi kwenye meza yetu….Dah, Chaya ni mwanamke aiseee. Maana kwa vitu Chaya alivyojazwa na Nacky Nyange alitakiwa anichukie mpaka anakufa,ila Mungu anajua jinsi ya kuumbua wachawi…. Basi kipindi kile tulivyogombana si mnakumbuka Blog ya chargabarbie bado ilikuwa hewani basi kuna posti Chaya alitukanwa sana pamoja na Nacky can you imagine Nacky alimwambia Chaya eti Mange ndo anaandika zile comments zote. Yani Nackie nyie. Imagine kina Chaya ni rafiki zangu mimi ndo nimemu introduce na anatuchochea hivyo ugomvi uzidi kuwaka moto. Na sasa imagine nani aliniletea habari? ushoga shogani.Ila Chaya nimemweshimu sana maana sikutegemea. So Chaya ni mtu ambae sihitaji hata kupatanishwa nae tuko powaaaaaa sana tu…… Although we dont follow each other on IG ila moyoni tunajua hatuna matatizo at all…..
8. Kiki Zimba – Kiki ndo alikuwa besti yangu kati ya watu wooote hawa. Problem is urafiki wangu na Kiki ulikuwa very one sided yani mimi kama nilikuwa nna force ule urafiki, yani kila siku watu walikuwa wananiambia Mange mbona wewe unampenda sana Kisa ila yeye anakusema vibaya all the time? Nimevumilia mengi mnooo kwa Kiki Mungu ndo anajua. Hakuna mtu anaejua ups and downs za urafiki wetu kama mumewe na kama sio mumewe kuwa anatupatanisha all the time labda tungekuwa tumeshagombana enzi zileeee…. Kutokana na damage iliyokwisha fanyika tena publicly , i mean both sides tulipitiliza vipimo vyoote difference is mimi nilikuwa nafanya kama Mange yeye alikuwa anafanya kwa kujificha ficha nyuma ya computer. So yes kibinadamu ni mtu ambae naweza kusameheana nae ila kwa msahama toka kwake yeye. Yani lazma aniombe sorry ndo nweza kupatana na KIKI. Yaliyotokea yoote yalitokea sababu ya yeye kuanza kunisema vibaya kisa tu eti nimeanza kuuza nguo kama yeye uwiii ila sasa nauza nipo marekani sikuwa hata Dar na kipindi naanza sikuwa hata nna plan ya kufungua business Dar ni baada ya uadui na yeye ndo nikaona why not. So huyu yes moyoni mwangu one day kama maajabu yakitokea yes naweza kusameheani nae ila labda aniombe msamaha tena msamaha very sincere. Ila pia namjua vizuri mnoooo ni Mnyakusya yule ,uwiii hata angewekewa bastola kichwani hatokaaa kuniomba msamaha, so lets just say mie na Kiki hakuna hope. So wapatanishi hapa ni mission impossible…. …
9. Nackitie Nyange – Oh lord I HATE this woman. Sijui ntafanyaje Mungu anitoe hii roho ya chuki juu ya huyu mwanamke…. Jamani huyu mwanamke nyie. Dah, no wonder huyu dada hata relationship na wadogo zake ni kazi haswaaaaa…… Jamani huyu dada ni mchonganishi nyie sijui nisemeje, yani the day nilivyowekaga ile post on fb kuhusu kugombana na rafiki zangu nikaona kaniblock IG, nikashangaa nikam contact kumwambia kuwa hapana mimi na yeye tuko cool hausiki.OMG, yani na kumuelezea kote huyu ndo alikuwa kichocheo cha moto mpaka kuwaambia kina Cynthia nilikuwa nawasema kwake, kumwambia Chaya Mange ndo anamtukana kwenye hiyo blog jamani hii ya Chaya iliniumaaaa nakumbuka 2 yrs ago nilikuwa naongea na Mwamvita niko Las Vegas nilimlalamikia about hili kidogo nilie maana nilishangaa Chaya kanikosea nini mpaka nikamtukane kwenye blog jamani…. Iliniuma sana ,unajua Nacky mpaka akamwambia mume wake yule mIHAYO eti Mange ndo anakutukana kwenye blog mumewe akanipigia akaniuliza vibaya nikaishia kumtukana matusi kibaooo… Kilichoniuma kati ya vyote, Nacky was my friend, hao kina Kiki, Adeline woooote walikuwa hawamtakiii kwenye group mimi ndo namuombea aingie, Nacky alikuwa ananililia nimu introduce kwa dada wa sauzi kipindi hiko yuko marekani. Ananiomba nimuombee aende New York aka hang out na huyo dada eti kampenda kwenye picha na mie namuombea, akarudi TZ akafanyiwaga welcome home dinner na rafiki zake jamani alinisumbua nimwalike dada wa sauzi aje, imagine anataka mtu ambae hata kumwalika yeye mwneyewe hawezi aje kwenye dinner yake, jamani mbona nilimake sure huyo dada kavaa kaja kwenye dinner jinsi niliyokuwa nampenda Nacky nataka afurahi,akawa ananiomba nimuite zile branch zetu za Hyatt jamani group zima linanuna especially Adeline, Ade alikuwa hafichi alikuwa ananisema kabisa Nacky usimlete sio mtu mzuri mie mbiiishi jamani hata mkitafuta picha za nyuma za branch za Hyatta mtaona Nacky lazma akae next to me maana mie ndo shogake ,basi akija hizo branchi atabeba zawadi ampe dada wa sauzi yani dada wa sauzi akimsifia hiko kbanio kizuri uwii next sunday atakuja brucnh na hicho kitu kama zawadi ampe…hahahah jamani dada ali fight kumjua dada wa sauth utadhani ana fight kujuana na mwanaume. Na mie ndo namuita kila mtoko awazoeee, jamani imagine siku mimi nimegombana na rafiki zangu yeye ndo akaingia kati kuwatia utambi vizuri badala awe side yangu maana mie ndo shogake au awe netral… DUH KWELI kutaka kujuana na watu wenye status mjini ni shida mtu anakosa hata utu…. Huyu dada sidhani kama nitakaa kuweza kumsamehe hata akiniomba msamaha maana ni muongooooooooooooooooo, mchonganishiiiiii,mnafkiiiiiiiiiiiiii. In short sijashangaa kuachwa na mume wake hakuna mwanaume anaweza kuishi na huyu dada ni mtu mbaya sana an very fake. Kaachwa basi kajikondeshaa sasa hivi madai yake anatafuta bwana mpya..hahahahaha…..Yani nyie nikiwawekea chat alizokuwa anaomba nimuombee kwa dada wa sauzi aende kumeet new york mtachokaaaaaaa…. Yani nilimshangaaa maana mimi niliamua mwenyewe siwezi kuwa kwenye kundi la fake friends wanaonisema behind my back na nikaamua kuwa blast on facebook. Maana niliumia sana yani just 2 days before nilitoka kumuona mtoto wa KiKI huyu mdogo s na picha nikarusha insta kumbe nimetoka kumuona mtoto wake na kaenda kunisema vibaya? eti wala sikumualika kwangu kaja mwenyewe, jamani niliumia,imagine alivyojifanya kufurahi nimeenda kumbe ndo anaeenda kunisema,mamaaa niliumiaaaa nikasema basi acha niwe peke yangu ndo nikatapika facebook… Ila sasa imagine mimi niliamua kutoka kwenye group sababu niliona halina faida kwangu Nacky yeye ndo alikuwa anaweza kufa kuingia kwenye hilo group mpaka kunigeuka mimi rafiki yake for the sake of watu ambao hata hajawazoea ,yani that day nimeweka ile posti facebook ya kusononeka that day ndo the first day Nacky kakutana na wale wadada bila mimi au bila kuitwa na mimi. Ila akajiweka yeye ndo kiranja wa ugomvi.Yule mwanamke jamani ni nyoka nyie hamuwezi kuelewa. Na kuna comment mtu aliweka about huyu dada kuwa close na mke wa Luca and now kahamia kwa Nacky its so true, Nacky is a snitch yeye ni about status and money basi. Alikuwaga very close friends wa mke wa Luca na alikuwa anamchukia Nancy kufaaa kwa kuiba mume wa shogake yani nilipokuja kumuona eti yeye ndo kawa official mpambaaji wa mtoto wa NANCY and Luca kisa Nancy kawa na status nilichokaaaaaaaaaa….. Yani yule dada kuna siku mtakuja kuniambia mimi……One day tutakuja kuongea topics ya huyu Nacky humu na nitawaambia mmeona allivyo snitch… she is by far the worst firiend I have ever had maana she ditched me when I needed her most maana nilikuwa nimewablast marafiki woote facebook nikijua yeye is with me ,uiii kumbe mwenzangu keshahanihama,that means she was just using me kujuana na wale wadada yani hakuwahi kunipenda alikuwa ananitumia tu especially kujuana na dada wa south and thats it. Huyu mwanamke naomba muwe mnanisalia niweze kupata nguvu ya kumsamehe ili niondokane na huu uzito rohini mwangu, hating someone is a full time job jamani. Ni utumwaaaa asikwambie mtu… I need to stop hating her mniombeeee. Ila kwa kusameheana nae siweziiiiiiiiiii, dah!!!
10. Nafue /Glam Madam – Huyu anytime akiwa ready mie niko nae poa, we dont even need to apologize to each other, tuligombana viugomvi vya kijinga jinga. Glam madam anavitu anaboa sana mkiwa close, she means well ila hajui kum complement rafiki yake atakutoa kasoro morning till evening.Yani ukishinda nae siku nzima utajikuta una stress za kufa mtu. Ila sio mtu mbaya at all, she is an amazing person ni vile I think hana communication skills basi. Like anawezakukwambia “we mange una viguu vibaya jamani” like 5 times a day ila anasema kama utani but after a fews time unaanza kuumia… Not just me marafiki zake wengi lalamiko lao ni hili hili….Ila kwingine kote she is amazing na sio back stabber kama dadake. Ila huyu nae mgomvi kama mimi na mbishi kama mimi so mimi na yeye tukispend muda mwingi pamoja lazma tuvaane.Ila ukweli ni kwamba sometimes I miss her kwa kweli, especially coz hatujawahi kukoseana kivile yani ni vimambo vya kitoto toto tu.Nafue ni vile yupo bossy like me but she is really harmless nachekaga wateja wake wanavyo complain kuwa anawagombeza saloon kwake, ndo alivyo Nafue yani mwenzenu hata besti friend anamuongelesha hivyo hivyo na hapo ndo anampenda and its hard ndo maana mimi pia nilikuwa nashindwa tunagombana na kurudiana ,ila ndo anavyoongea hivyo…hahahaha,na kukutoa kasoro ndo alivyo anapenda kuhighlight vitu vyako vyooote vibaya It doesnt means she hates you ila anapenda tu kusema vitu vya kumuuzi mtu….lol… Na mie nimesha muaccept kama alivyo maana na mie nna matatizo yangu ambayo ilibidi Nafue anivumilie….. No one is perfect……..
11. Ikumbo NYANGE -Huyu aliuvaa ugomvi wa dadake bila sababu. Ofcourse I had to understand dada ni dada tu. Ikumbo yuko protective sana na ndugu zake. PRIMARY school mie ndo nilikuwaga bully la shule,yani nilishindikana kwa uonevu shule nilikuwa nabutua watoto wa watu jamani. Ila ikumbo alinikomesha, nilikuwaga nikimbully Nafue weeeeeee ananifata utadhani ananiweza maana kalikuwa kembamba kama kijiti ila alikuwa anani challenge na ubully wangu. So nilielewa why ikUMBO ushoga na mimi ulikufa baada ya ugomvi na Nacky, although huyu nae nilimpigia simu akiwa minnesotta na kujaribu ku expplain kuwa mimi sielewi why dada ake anadhani tuna ugomvi nikajiongelesha kwenye simu eeeeh ili kuokoa urafiki wetu wa miaka karibia miaka 20 sasa ila blood is blood . So yes huyu sina tabu nae siku akiamua tuwe poa kama zamani yani ntamkumbatia coz I do miss her sometimes tumeshare mambo mengi toka tuko 7yrs old… But again dadake ni namchukiiiiiiaaaaa balaa so i guess mimi na Ikumbo na Nafue kueleewana ni mission impossible..hahahahahha…. Kati ya the 3 sisters huyu ndo mwenye busara zaidi ya wooote, huko very grounded and very easy to get along with. Yani huyu mtu ukigombana nae ujue wewe ndo problem. Ila Nafue na Nacky ni problem…hahahahahhahahahah..Though Nafue ni harmless problem ila Nacky will kill you with a smile on her face….
12. Mwamvita Makamba – Unlike what most think me and Mwamvita are actually good friends yani. Sio kama zamani but we are good. Nahisi hamjui ila baada ya like balaa nilijirudi na kumuomba Mwamvita msahamaha kwa kumblast on facebook vile and she forgave me instantly wala sio ya kusema let me think about it, nope pale pale. Why did I apologize to Mwamvita? Nilivyowekaga ile post fb YA kuwa blast mashoga zangu haki ya Mungu kati ya group lote lile hakuna hata mmoja aliejali wala kuniuliza Mange unaongelea nini maana walijua ni kweli wamesema, Yani no one bothered to reach out to me except MWAMVITA, Yeye peke yake ndo alinipigia simu tha whole night na nilikuwa sipokei,she emailed me sijibu mpaka akampigia mamangu kuuliza. Only she cared about our friendship. Na mie baadae hasira zilivyoisha na kuona kuwa haikuwa busara kuweka ile posti pale niliona the only persona alie deserve my apology is the Mwam. Maana niliona atleast she cared about saving the friendship, so nikamwambia im sorry. We have been okay since then, sina problem na Mwam at all. Ila ofcourse labda now kutakuwa na problem sababu ya issue ya shutup law na reaction yangu kwa kaka yake, damu nzito jamani. And that was a risk I was willing to take maana hii issue iligusa maisha yangu na maisha ya watz wengine mno. So mkiweka issue ya January pembeni Mwamvita na mimi tupo poa sanaaa…. Jamani I respect this woman, Mwamvita ana roho nzuri nyinyi hamuwezi kujua. Ana roho nzuri. Katika marafiki nilowahi kuwa nao wenye genuine good heart ni Mwamvita Makamba na Bimdo,yes BIMDO, najua watu wanaweza kupata shock hapo pa kumtaja bimdo , alipitiwa na jini tu ila that girl has a good heart,let me tell you…..Ila guys Mwam is an angel, she is a good person I wish yeye na sio kaka yake ndo angekuwa kaingia kwenye siasa sababu ana roho nzuri sana, I think Tanzania really lacks leaders with a simple good heart. Hivi mnajua Mwanmvita ni rafiki ambae anaweza kumpa rafiki $10,000 kama mkopo na akakusamehe? She is not rich she is simply nice like that. Kuna siku alikuja Dubai nikamsindikiza shopping akaninunulia CL ya $1,500 out of nowhere…she is just like that, like hawezi kushop peke yake anataka na wewe upendeze kama yeye,now thats a friend…,sio kwamba ana dola milioni benki haina kazi nope ana kazi nzuri yes ila sio tajiriiii but anatoa kushinda hata matajiri mnaowajua nyie, sasa dada enu Nacky nilikuwa nikimpa hizi story ndo anadata na Mwamvita, uwiii ni introduce jamani Mange uwii kakununulia CL kabisaaa uwiiii, uiii…hahaha,watu kwa kupenda vya bure….hahahhahaha…… One time Kiki aliiibiwa pesa few days before she travelled, sijui kama aliibiwa au alikuwa hana pesa anajua mwenyewe ila in short alikuwa anaadhirika akawa anahitaji $5,000 fasta aende china mie hapo nasomeshwa Masters na mzungu Dubai sina kazi nipo home, nkamwambia hapa nimekaa kama mtoto mdogo ,nasomeshwa kila kitu bure na mashauzi juu alafu niseme nataka $5000 nimkope rafiki mzungu atanitimua basi nikamwambia ngoja nikuombee kwa Mwamvita, eeh hapo yeye mwenyewe hajamzoea Mwamvita mimi ndo niko close na Mwamvita,yani hawa wote kina Kiki ,Nacky mimi ndo nimewaweka kwa Mwammy ,hahahaha…. Oh yeah mie nimejua Mwam through Bimdo back in 1999…Historia yetu ndefu mnooo…hahahhaa Basi nikamwambia usijali Mwammy wangu atakupa ,nikamzukia Mwammy, nikamwambia please mpe Kiki $5,000 anajua biashara akirudi tu atakulipa, Imagine nilivyokuwa nampenda Kiki sitaki aadhirike mjini nahangaika kutafuta hiyo dola elfu5 asafiri asichekwe mjini maana aibu yake ni aibu yangu. Mwamvita hakuwaza hata dakika mbili akasema sawa mwambie aje nyuombani leo ntampa. KIKI HAKUAMINI, maana imagine unakopwa na mtu ambae wewe mwenyewe tu hujamzoea enough kuweza kumuomba hata hizo pesa. Same day akapewa pesa akasafiri, amerudi kauza nikamuuliza vipi ushapata pesa za mwam akasema yeah ila kulipa zote ngumu nimpe kidogo kidogo nikamzukia Mwam nikamwambia pls chukia kidogo kidogo ili asiue biashara, guess Mwamvita aliniuliza nini? wewe unaona anilipe kidogo kidogo au nimwachie tu yote? nikamwambia chief kama unaweza kumwachia yote mwachie chief plsss, akasema mwabie nimemwachia, nikamwambia Mwam tell her yourself, akasema no mwambie wewe sijamzoe . Imagine wao tu kucommunicate hawawezi mie ndo middle men leo eti Kiki anajifanya bestiiiii ya Mwam,Mange ndo mbaya,hahahaha,jamani binadamu wanajua kusahau haraka…dah… Basi nikamzukia KIki nikamwambia Kiki mwam kakusamehe, eeeh kidogo adate , thank you mange, thank you mange, you a real friend, nkamwambia sio mimi mshukuru Mwam ndo akampigia Mwam kumshurkuku.. Jamani urafiki wa Kiki na Mwamvita ndo ulianza kuwa serious friendship siku hiyoooooooo na chanzo ni Mange….hahahaha….Jamani Mwamvita Makamba ndo binadamu wa aina hii. Naomba niwaulize honestly nani kati yenu anarafiki wa kumpa hata milioni 1 tu bure, hata kama anautajiriiii gani nani??? Ila mwam is that kind of a friend, ndo maana kina Nacky wanageuka marafiki for Mwam ambao hata hawamjui sababu wanajua misaada pale ni anytime huwezi kufa njaaa….hahahhahahah…… Mnajua ilifika time tunatoka out kila mtu hataki kulipa kiingilio anasubiriwa Mwamvita alipe for everyone, nikanza kumind na kusema jamani now kila mtu ajitegemeee this is unfair…. Huyu ni mwanamke mwenzetu plssss…. yani ni shidaaaaaa… In short Mwam ni generous person, na akikudai mkopo wake ujue she needs her money kwamba na yeye kabwanwa ,hhahha … Jamani mwam sio tajiri anakazi nzuri tu so hatoi because she is rich anatoa because ana moyo huo wakutoa yule mwanamke….. Kudadeki mie mwenyewe labda Mwam bado ananidai kidogo though I made sure kabla sijaondoka bongo nilimlipa every cent,hahahahah ila nahisi kuna ambazo alisahau…hahahahahhahahah…. Jamani huyu ndo mtu ambae sitokaa kumtusi ever coz I know who she is. hUYU mwanamke ni malaika. she is not perfect ila ana roho ya utu huyu dada. Wish ampe kakake roho yake aiseee……Uwiii kuna siku alini upgradia ticket nika travel business class, bila kumuomba alinipa offer tu, hivi rafiki gani anafanya hivi for friends??? Hakuna rafiki wa Mwamvita ambae hajasaidiwa kitu kikubwa na Mwamvita. Alafu katika marafiki waliomtia hasara mie wa kwanza I think. hahahhaa….Ile biashara ya nywele tulitoa wote 50% capital nikaenda bambikiwa manywele sio hayo in China, ila still Mwanvita any busines idea tunafanya tuna invest half half tunafanya….. Jamani hiyo ni marafiki sadaka sasa? I think mashekhe wa Dar wamepokea misaada ya Mwam mpaka mwisho, Anatoka sadaka huyu dada mimi mwenywe nyuma…Na kuna mtu nilimwambia this is why Mwamvita hatokaa kushuka sababu ana roho nzuri sana na anasaidia sana. Yani hakuna rafiki wa yake amabae hajawahi kusaidiwa kitu kikubwa hakunaaaaaaaa….. Again no one is perfect problem ya mwam ni moja tu sometimes she takes people for granted and she did take me for granted na nilimwambia one time you are taking me for granted. Because mimi urafiki kwanza everything else nyuma. Loyalty is not one of her strengths. Na mtu akikosa loyalty amekosa kitu kikubwa sana maisha yake…Mwam hana loyalty. sio kwamba alikuwa unloyal kwangu tu a few people would say the same. She is nice,caring, loving but loyalty is not her thing. And thats huge…….Mwamvita is the first friend I have ever respected and thats because she earned my respect. Jamani nothing moves me kama mtu mwenye utu…. Sio pesa ila utu, another friend in my life mwenye utu ni Loveness…. jamani usiombe kupata rafiki mwenye pesa omba rafiki wemnye roho nzuri,rafiki mwenye utu,hata akiwa hana loyalty ila ule utu wake can easily makeup for the other weaknesses… maana hakuna alie perfect ,najua I was a handful for her too ,watu walikuwuaga wnaamuuliza all the time hivi wewe na Mange inakuwaje mnaelewana , hahahha, its true we are totally different but we found some sort of common ground….. One thing that drew us together ni kwmba we are both driven, yani mimi na yeye most of the time tulikuwa ni tuna project za kutengeneza pesa tuuuu, au biashara yani hiyo ilitufanya tukaelewana sana.Kama ile project ya Diamonds are forever, tulikuwa partners pia kwenye ile project ofcourse pamoja na bosi Ruge….hahahahaha