Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nina maana ya kuonyeshwa kila kinachoendelea kwenye maisha yake, hata hivyo kichwapazii amemuumbua, alituaminisha yeye anaishi kama Biyonce.yupo kajaa tele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maana ya kuonyeshwa kila kinachoendelea kwenye maisha yake, hata hivyo kichwapazii amemuumbua, alituaminisha yeye anaishi kama Biyonce.yupo kajaa tele
Ila Lance alijua kuvumilia jamani, mwanamke gani muda wote yupo mitandaoni day n nit, alafu awe anafanya la maana basi, full ku bully watu.Kumbe mlikuwa hamuamini eeeh?
Wenzenu tuliona mbali kitambo sana.
Chezea wambea wenye PhD zetu wewe?[emoji4]
Lance alikuwa anaambiwa mama anafanya research ya business, since mke wa tajiri aliturn kuwa international business woman.Ila Lance alijua kuvumilia jamani, mwanamke gani muda wote yupo mitandaoni day n nit, alafu awe anafanya la maana basi, full ku bully watu.
Alafu lile jiko tunalooneshwaga kila siku i bet sio lake, kama sio la wakwe basi la friend, alafu poor bhoke ndio alikuwa kama mama wa nyuma maana kazi zote alikuwa anafanya, sijui hua anasomaga saa ngapi jamani.Nina maana ya kuonyeshwa kila kinachoendelea kwenye maisha yake, hata hivyo kichwapazii amemuumbua, alituaminisha yeye anaishi kama Biyonce.
Usiombe kugombana na mtu wa karibu yako, Mapya2 mbona alimwaga yote, Mange hajui kupika, tangu da Zenat aondoke Bhoke ndiye mpishi. Akikasirika anapiga watoto ovyo, Lance alimwambia marufuku kupiga wanae, kama anataka mtoto wa kupiga ampige Bhoke.Alafu lile jiko tunalooneshwaga kila siku i bet sio lake, kama sio la wakwe basi la friend, alafu poor bhoke ndio alikuwa kama mama wa nyuma maana kazi zote alikuwa anafanya, sijui hua anasomaga saa ngapi jamani.
Hahahaaaa umenichekeshaa, ila kichwapanziiiiiii huyu mpaka nimetamani kumjua yaani hajambakiza kituLance alikuwa anaambiwa mama anafanya research ya business, since mke wa tajiri aliturn kuwa international business woman.
Aiseeee ndio mansion hiyo? Hebu aje arachugga ndo atadata na mimansion ya wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Then akaja akadai nyumba yake ni zaidi ya million dollars akapost hii View attachment 359851
Mkuu hivi unajua hata anaekaa Manzese kwa mfuga mbwa ana confidence ya kusimama akasema anaishi kinondoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa uliza ni kino ipi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] majangaaaaNa anajiona mjanja Sana watu tuko huku miaka inaenda 18 analeta dharau eti hakuna mtanzania ana mansion kama yake, jamani that's her mansion ni fedheha ujue na kinyumba chenyewe 3bedrooms 1bath? Ebu angalia gate jamani pembeni sijui ndio storage au Choo cha nje mie nakumbuka sehemu Kama anayoishi huyo dada ni Kama maeneo flani ya wamexico au wale wanugu wandanii ebu angalia nyumba utadhani mtu yuko hood ya Oakliff Dallas shenzi taipu.
Mkuu hivi unajua hata anaekaa Manzese kwa mfuga mbwa ana confidence ya kusimama akasema anaishi kinondoni[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] majangaaaa
kichwapanzi natamani nikuone jamani kweli malipo ni duniani nikikumbuka alivyorudisha nyuma harakati za mabadiliko nimeamini mungu analipa kwa wakati hii story ni kama ya daudi na goliati mange anastaili alichokipata