Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Aiseee ni bonge la moja la soo pale baba mtoto anaposide na haters wako.uchungu na joto hasira vinazidi mara mbili

Kamchokaa mtu anaamka usiku anamuangalia mkewe kitandani hayupo, anamtafuta anamkuta chooni na laptop anatukana watu akimuuliza anamwambia unajua mimi Bongo ni Kama Beyonce ha ha haha! Beyonce akimjua anachosema atamtumia Alshabaab na ISIS wamfanyie kwa pamoja
 
Si alikua anasema kua mmewe anafurahia kua anavyoongelewa sasa imekuwajee,,,sasa alikua anamsema zari zamu yake imefika ahhaah,,jamani tuleteeni umbea hukuu
 
Alipata hela za nyumba ya marehemu babake ilikuwa Kinondoni Dr Mwele alimpigia debe Sana angalau apate kidogo basi ndio kufika marekani akanunua Cayenne na kufungua biashara ya Bongolicious akawa anawashonesha kina fundi Bakari wa kinondonimwisho wa siku wakagombana alishindwa kkuwalipa, unaambiwa alifika marekani akaenda mall kununua viatu pairs Kama 4 za Kama $1,000 kila kiatu hahaha hela alipata Kama millions 50 ziliisha biashara zikaanza kufa
Haaa haaa eti akina Fundi Bakari..
 
Nenda insta account ya kichwapanziiii,utaona yaani mpaka huruma au ingia account ya mapya 2 ,from there utaona kapost account ya kichwapanzii,uingie, jamani mpaka huruma, mange nilijua ni bonge la mgumu, kumbe hamna kitu
mine talaka kitu kingine mamaaa!!
kuachwa kunauma bwanaa!!
 
mine talaka kitu kingine mamaaa!!
kuachwa kunauma bwanaa!!
Hata kama ndo uwape information zote haters?maana alipublish mpaka chats zake na mmewe,tena mimi ndo ningekuwa yeye,ningesema photoshop ,ningesema mahaters wamafoji tu,maana Mange alimwagika balaa,mpaka anamtuhumu mme wake yupo upande mmoja na kina kichwapanzi,yaani hapa ndo pabaya zaidi,mzungu nae zoba tu,yaani sijui kina kichwapanzi wamemdanganya nini mpaka kawapa document ya kufile talaka,dah balaa tupu
 
  • a ha ha@kichwapanziiiiii we ni mwwisho wa mambo kha ila mange we kibiko. Lance has been asking you to look for a job you slat, but because you want show off ni biashara ya mahotelini tuuu kila siku. Mange if you want to spend pia work hard or alse yanakukuta yaliyokukuta siku si nyingi hata huyo babu atakukimbia
Mke wa architect kijana alishaambiwa atafute kazi jamani.
 
Umeshawahi kumchoka mtu wewe??? Hugo inaitwa kafie mbele, mzungu ndio anatoa data zooote. Atakoma mwaka huu
 
Umeshawahi kumchoka mtu wewe??? Hugo inaitwa kafie mbele, mzungu ndio anatoa data zooote. Atakoma mwaka huu
huezi jua maana kitanda usicholalia hujui kunguni wake!
km kwenye mitandao vile..??
humo ndani je?!!!si km uwanja wa segere full vurugu!!
lloohhh!!!keleleee!km nursery school
 
Hata kama ndo uwape information zote haters?maana alipublish mpaka chats zake na mmewe,tena mimi ndo ningekuwa yeye,ningesema photoshop ,ningesema mahaters wamafoji tu,maana Mange alimwagika balaa,mpaka anamtuhumu mme wake yupo upande mmoja na kina kichwapanzi,yaani hapa ndo pabaya zaidi,mzungu nae zoba tu,yaani sijui kina kichwapanzi wamemdanganya nini mpaka kawapa document ya kufile talaka,dah balaa tupu
ht mi nlichoka yule baba kutoa info zote!hakua na jinsi zaid ya kua mkweli maana yule mmewe huez jua amemchoka kias gani!!!mpk anatoa ma evidences yote!!na mange hakua na jinsi akahis akisema atapata relief number daah! but madame ile kitu ile juz nasoma mwnyw nilichoka alivyokubali yaani!!
 
Daaa..mange amekuwa fundisho kwetu tunaotarajia kuwa mama wa baadaye nimejifunza mambo ya ndani ya ndoa yako yaishie huko huko ndani ni marufuku kuruhusu mitandao itawale maisha yako na amenifunza nifikirie kabla ya kuongea na kila kitu si cha kuongea maana haujui kesho yako
 
Poor Lance is angry and bitter according to Mange. He thinks he has to side with KP. But it make sense. I would get bitter too if I have to pay child and spousal support once the divorce is finalized for someone who doesn't even think she should get a JOB....
 
nawahurumia watoto jamani dah! MWENYE ENZI MUNGU awalinde
 
huyu mange me namuogopa,akikubebea bango anaweza kukuua kwa presha.kuna kipindi wallizenguana na kina hoyce temu,basi post za kuwachafua zilikuwa zinanitisha aisee.
 
Ni shidaaaa nyumba eti hakuna mmarekani ana uwezo wa kuwa na nyumba Kama hii, lakini hakukosea mie sijui mbongo anaeishi kwenye pagala Kama hilo marekani ha ha ha ndio maana alikuwa anachanganyikiwa na nyumba ya Mwamvita. Poleeee Bi kinuka chupi
Hii ndio nyumba aliyokuwa anasema hakuna mbongo huko USA anaweza kuwa na nyumba kama hii??
 
ifungua file ilo apo chini

Wanaishi kwenye nyumba ya kupanga hicho kinyumba kiliwashinda mortgage ilikuwa $3,000 baba hana hata hela ya kurudi shule na wazazi ndio walikuwa wanalipia. Ataokota makopo this time kwa matusi alokuwa anatukana watu wazima, ndio atajua laana sio lazima upewe na mzazi wako tu, nyambafu.
 
Back
Top Bottom