Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Nifah jamani huna taarifa za Da jane?! Nimemmisi sana jamani au alikula life ban? Tujulishane jamani kama Da jane unaona huu wito jitokeze hata kwa salamu tu.
Sina taarifa yoyote mpenzi,na wala namba zake sina jamaniiii!
Tushirikiane kumsaka dear.
 
Mimi binafsi nawahurumia na kuona uchungu kwa ajili ya watoto wake jamani jamani. ..ehh Mola. .
Eti uchungu, hawakuhusu na nani kakuambia wana shida kama sio umbeya tuu ? au mlitaka akae kwenye ndoa mbovu kama mlivyozoea waswahili kwa ajili ya njaa zenu, sanasana atalipwa zaidi na kupata mwananume mwingine wa maana zaidi, acha awatukane tuu maana ndio mnachopenda na ndio sababu maelfu mnamfuatilia mitandaoni and in a serious note huyu dada ni celebrity kweli kweli angekuwa na akili na maelfu ya wanaomsoma she could make millions kwa sababu ana thousand of followers/hits kwenye blog yake, na mkubali wengine wamepewa umaarufu kwa ajiri wametukanwa na huyu dada, she needs to up her game sio kutukana tuu make money sasa maana watu wanapenda gossip sana na ni very addictive
 
Mtu huvuna analopanda that is a law of nature. ..mtu akitembea uchi pia naye ni celebrity haswa huyo mtu akiwa na ndugu na marafiki! Remember negative and negative don't solve a problem. ..anyways barikiwa my friend. .
 
Blog ipi hiyo unayoizungumzia na mimi nika m follow?! Haah kila kitu kwake sasa ni historia, umaarufu?! Una jua hata Pamela dansa wa Kofii nae tangu jumamosi ni MAARUFU?! Jiulize sasa chanzo cha umaarufu wake teke hadharani. Haahaa. Mange kujikweza ndio kumemshusha kwa kasi ya kuserereka.
 
Ila mange anawapelekesha kweli, kutwa kumjadili na wengine hadi wamemfungulia page IG, jana nimemsoma kichwapanzi hadi nimeshindwa kushangaa. Hivi kweli kama mange ni mtu aliyeshindwa maisha, muongo, mjinga na mzandiki kama alivyomnasibu, ya nini kujichosha kufuatilia kila anachopost insta? Nahisi kuna kitu nyuma ya pazia kuliko tunavyodhani.... hawa watu wanajuana though mange ana umati wa watu while wapinzani wake wana followers kiduchu na comments zao ni chache.... tehe tehe nami naanza umbeya naona
 
Ila naona anazidi kujichoresha kubishana hovyo. Huu ndio mda mzuri kwake kuacha kuwa tegemezi nakusaka employment maana watoto ni wake pia. Asidhani mzigo wa mzungu pekee laasivyo atawabeba kimoja.
 
Ngoja nikupe siri ya kichwapanzi and co kuwa na comments chache.
Mange huwa anafuatilia kila wanachopost wapinzani wake.
Na kila anayecomment kufurahia vile anavyotukanwa huwa anamfuatilia maisha yake kimyakimya...akishapata taarifa za kutosha za mhusika anaanza kumbully.
Wengi hii inawaumiza maana anawatukania hadi familia na watoto.
Ila amini usiamini kichwapanzi anafuatiliwa na wengi sana,na wengi hupita kimyakimya.
Ila siku akiweka 'bomu' huwa huoni watu wanavyojaa?
Kama juzikati issue ya Lance na Nyari ' bata batani'.
Pia angalia videos anazoweka views zake.
Mimi pia siku akiweka bomu huwa nasign in na a/c yangu fake nashangiliaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoga sikuwezi sio kwa mfano huo wa Pamela.... umenivunja mbavu[emoji119][emoji119]
 
Ila naona anazidi kujichoresha kubishana hovyo. Huu ndio mda mzuri kwake kuacha kuwa tegemezi nakusaka employment maana watoto ni wake pia. Asidhani mzigo wa mzungu pekee laasivyo atawabeba kimoja.
Hakuna siku aliyowahi kujichoresha kama juzi alipoongelea issue ya 'buzi' lake jipya.
Nilizidi kumdharau...
Ni wazi wapinzani wake (kichwapanzi & co) wanampelekesha sana tofauti na anavyojigamba.
Sio kwa kusema kule mambo ambayo mwenye akili timamu hawezi kuyasema hadharani.
 
Huyo anweweseka hakuna halijuwalo, mimi Intagram account yangu nalog kwa Facebook log in ni genuine Id, huwa nasoma tu post zao huko Insta lakini sijawahi kucomment hata siku moja na mimi siwafollow hao macelebrety hata mmoja.

Nilifunguwa hii account hili nisome umbea tu wa mjini usinipite ila Insta kwangu haina issue.
 
Shoga huo ubuyu umenipita, haa! ashapata buzi lingine? Teh! ni mzungu tena? Hahaaaa atulie alee watoto jamani.
 
Nifah wewe ni jipu....i wish nilijue fekero lako nichekeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fungua fake na wewe (kama huna) halafu nitakucheki PM tuwe tunaitana kwenye umbea.
Hiyo fake imenisaidia sana acha tu...
Kuna watu nimefanikiwa kuwadukua kupitia hiyo maana a/c zao ziko private na kuwafuata na yangu Og hawatonikubalia.
Ila ile wanakubali fastaaaa...
Naingia nachukua umbea tani yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shoga huo ubuyu umenipita, haa! ashapata buzi lingine? Teh! ni mzungu tena? Hahaaaa atulie alee watoto jamani.
Nenda kwa kichwapanzi alizirepost mpenzi.
Hizo posts kavaa shati la jeans na kipensi cha kijani kama sikosei....
Nenda ukashangae!
 
Nenda kwa kichwapanzi alizirepost mpenzi.
Hizo posts kavaa shati la jeans na kipensi cha kijani kama sikosei....
Nenda ukashangae!
Ile picha na kivazi vinamwonyesha mange kachokaaaa masikini....daaah
 
Nenda kwa kichwapanzi alizirepost mpenzi.
Hizo posts kavaa shati la jeans na kipensi cha kijani kama sikosei....
Nenda ukashangae!
Asante wangu, ngoja nikajionee mambo ya "hawara ya muzungu".
 
Mimi pia huwa napita kimyakimya...
Ila umbea ukinikuna nalog in na fekero nachangia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mchezo wanaujua wajanja tu...
Huyo mjinga anaona hao akina kichwapanzi hawafuatiliwi wakati hata huyo Mange anafuatilia na fekero yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…