[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]video za lance ndo maana kamtafuta kp mpk kampataMwenzangu KP katufumbua macho katufumbua macho wengi.
Bila yeye hadi leo tungekuwa tunawekewa picha na video za Lance.
yaah!yaani mi hata sitamani awe yy maana hafananii hata kidogo na pia mange atajisifu mnooWeweeeeee kumbe ndio yeye kweli kama Mange alivyokuwa anasema?
Tusubiri tuone kama KP hatopost chochote.
Jamani asiwe yeye tu!
Jamani natoa rai tufunge na kusali kumuombea mmbea mwenzetu KP asiwe ndio yeye aliyekamatwa.yaah!yaani mi hata sitamani awe yy maana hafananii hata kidogo na pia mange atajisifu mnoo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tufunge kwa kweli na km ndo yule mmama [emoji15] [emoji15] [emoji15] hataree sio kwa michambo yule!Jamani natoa rai tufunge na kusali kumuombea mmbea mwenzetu KP asiwe ndio yeye aliyekamatwa.
Maana yeye pekee ndiye aliyeweza kuuangusha mbuyu ulioshindikanika Mange.
Mwenzangu yule mmama anayesema ndio KP...mhhhh!
Acha kucheka gen niko serious hivoooo.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tufunge kwa kweli na km ndo yule mmama [emoji15] [emoji15] [emoji15] hataree sio kwa michambo yule!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nifah wewee!nenda uniambie mie kaniblock!!!Acha kucheka gen niko serious hivoooo.
Hebu ngoja niende kwa KP kwanza nione kama hajapost chochote.
sio yeye mange asingekubali .Jamani natoa rai tufunge na kusali kumuombea mmbea mwenzetu KP asiwe ndio yeye aliyekamatwa.
Maana yeye pekee ndiye aliyeweza kuuangusha mbuyu ulioshindikanika Mange.
Mwenzangu yule mmama anayesema ndio KP...mhhhh!
nani kasema michambo kama kawa kule ? hatishiwi nyau[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nifah wewee!nenda uniambie mie kaniblock!!!
naskia anapost Ila so kama mwanzo!!!
Wapiiiiiiii KP anapost kama kawaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nifah wewee!nenda uniambie mie kaniblock!!!
naskia anapost Ila so kama mwanzo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu niliogopaje?Nikadhani mpenzi wangu wa roho KP keshakamatwa!sio yeye mange asingekubali .
halafu kp huwa yupo bongo kama huwa unamsoma vizuri
tena nadhani ni mmojawapo katika wale marafiki zake tena ukute ni mwamvita
maana anamjua haswa
halafu anaonekana ni msomi sio mtu mbumbumbu
kweli eeehhh!!!Wapiiiiiiii KP anapost kama kawaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mange hutokaa umkamate KP,unapoteza muda tu.
kp kakublock kwa nini?kweli eeehhh!!!
kaniblock nilikua nacomment kwa mange nkakosea nkatuma kwa KP nikachelewa kufuta kuhusu UKUTAkp kakublock kwa nini?
mimi huwa sicomment maana mange ataniblock mimi mtazamaji tu huku na kule
kweli eeeh?!!!mbona kasema ndo yule...?!!!sio yeye mange asingekubali .
halafu kp huwa yupo bongo kama huwa unamsoma vizuri
tena nadhani ni mmojawapo katika wale marafiki zake tena ukute ni mwamvita
maana anamjua haswa
halafu anaonekana ni msomi sio mtu mbumbumbu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mange anasema eti anajiliwaza!!mi nasubiri siku ya siku tu!nani kasema michambo kama kawa kule ? hatishiwi nyau
daaah!sijui itakuawaje?!maana mange anadai ndo yuleKweliiiiiiii.
Dah,niliogopa sana.
Ila KP anadai yule dada anayedhalilishwa ni mtaratibu hana shida na mtu.
Hivi yule dada akifungua kesi ya kudhalilishwa itakuwaje?
mbona alisema ni safina? ni muendelezo wake tu wa kuchanganya watukaniblock nilikua nacomment kwa mange nkakosea nkatuma kwa KP nikachelewa kufuta kuhusu UKUTA
kweli eeeh?!!!mbona kasema ndo yule...?!!!
mange anasema anazuga tu hana lolotembona alisema ni safina? ni muendelezo wake tu wa kuchanganya watu