Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Nasikia Lance kurudi Dubai kwenye issue zake. Bi dada alikuwa anamtaja migundu ti
utamsikia mama wa mashauzi.com anajikomba kwamba atapeleka watoto na festi class.. wkt restraining order inamhusu.. atachina huko calver city mpk nywele nyeupe zimalizike kuota.. lol
 
Ndio sababu kavurugikiwa kiakili, jana alichachamaa kweli kwa uteuzi wa Doto, yaani alikuwa anaropoka kama kapandwa na kichaa, kumbe ni Dubai imempandisha homa, kazi anayo.
Ile mwenzetu yule hakulikoroga tu bali alilikoroga na kuliblend, kha mwanaume gani atavumila mwanamke anaempiga mama yako na kukigawa nje pia. Jamani kitchen party yake ilikuwa wastage of space and time.
 
Lance toka aachane Na Mange kawaida Rough mbayaa mudevu kama pango la Osama..Mange knows how to take care if husband sio Huyo Nyari...Hata ivyo Mange Tayari ana Kifaa kingine hatari..Mzungu wa Maana Bilionea.Akina Nifah muandae kuficha USO zenuu Maana mlishupaliaaa kama Kuachwa Dhambi..mwenyewe Nifah unataka kunambia huna TALAKA tokomea wewe
Toka aachane na Mange awwww amenawili stress zilikuwa zinamzeesha , by the way huyo bilionea Nina wasiwasi naye kwn kwa mtu mwenye pesa zake hawezi akawa anampiga pics za mapozi ya kikahaba tena mtaani, hakika huyo ni kahaba wa kiume pia. Nature ya video na pics anazopigwa zinajieleza
 
Mama kwani vepeee?
Huyo bilionea na atuoneshe tu kwani kitu gani bwana?
Anamficha mwanaume asijenyang'anywa custody ya watoto akakosa 20% za mshahara wa Lance kila mwezi.
Kama bilionea kweli kwanini asijiachie nae hadharani?
20% ya mshahara wa Lance imshinde bilionea?
Acheni utani nyie.
Bilionea mwenyewe angekuwa anampiga picha mtaani tena na mapozi ya kikahaba na viguo vyake makalio chini wazi? Huyo ni kahaba la kiume tu
 
Ile mwenzetu yule halikoroga tu bali alilikoroga na kuliblend, kha mwanaume gani atavumila mwanamke anaempiga mama yako na kukigawa nje pia. Jamani kitchen party yake ilikuwa wastage of space and time.

Duh kumbe alikuwa akimpiga hadi mkwewe?
 
Bilionea mwenyewe angekuwa anampiga picha mtaani tena na mapozi ya kikahaba na viguo vyake makalio chini wazi? Huyo ni kahaba la kiume tu
Mwenzangu sisi tusemeje?Labda ndio uzungu wenyewe.
Hadi mtoto (Kenzo) anamshauri mama yake avae uchi apate bwana!
 
Back
Top Bottom