Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

....atakionaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile videos za mbutananga umeziona gen?
Uwiiiiii ngoja nikaziangalie tena.
Jana kidogo nife kwa kicheko.
cc mwasu I miss you darling
nliziona mdaa nlicheka balaaa!
mbuta nanga in kizibo kabisa
 
....atakionaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile videos za mbutananga umeziona gen?
Uwiiiiii ngoja nikaziangalie tena.
Jana kidogo nife kwa kicheko.
cc mwasu I miss you darling
Hahaaaa, mpenzi Mbuta nanga ni shideh! eti adui yako akiachika unafanye?! HAAHAA aha wazungu watuletee mitandao tucheke tuongeze siku sie. Mis you sana.
 
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
Asa kwanini unatukana watu wote wakati unayegombana naye ni mleta mada tu? Notorious twit!
 
Hahaaaa, mpenzi Mbuta nanga ni shideh! eti adui yako akiachika unafanye?! HAAHAA aha wazungu watuletee mitandao tucheke tuongeze siku sie. Mis you sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Adui yako akiachika fungua champagne sherehekea...hakuna haja ya kumtukana.
Uwiiiiiii Mbutananga ni mwendawazimu!
Word...hii mitandao ni stress free [emoji108]
Me more dearest.
 
stress za kuachwa kahamishia kwa magufuli. acha aachwe huyo mume anahudumiwa saa ngapi?

kutwa anagombana na watu instagram. kweli wa uswazi ni wa uswazi tu hata akikaa katikati ya marekani.

hongera dada. endeleza stress za talaka kwenye ukuta. lkn tunajua huthubutu kurudi tz kwa kuwa umeharibu kila sehemu.

pole sn. MUTARAKA YA MUZUNGU
 
Le mutuz tunakukubali sana,tatizo ni yaani wewe na exposure yako yote unamuona Magufuli can do no wrong? una betray principles zako just for the sake ya kum please mtu anaye shikilia shoka-ukitegemea indirectly or directly tonge litaangukia kwako-this is so sad
Le mutuz ni msakatonge.
 
Nasikia Lance kurudi Dubai kwenye issue zake. Bi dada alikuwa anamtaja migundu ti
Hajarudi....according to IG yake (unless ile new contract inahusu dubai)

Nyari anajitahidi kujicommentisha lwenye pics za lance ila lance mwenyewe hata kumjibu mmmmmh

Ngoja nikasake umbea kwa nyari kama lance pia anakomentigi


Nimeona ig.....dubai things
 
Ukizingati yeye anabaki na watoto, hata akipewa 20% ya mshahara, halifikii tanuzi atakalotanua Nyari.
Ndio sababu kavurugikiwa kiakili, jana alichachamaa kweli kwa uteuzi wa Doto, yaani alikuwa anaropoka kama kapandwa na kichaa, kumbe ni Dubai imempandisha homa, kazi anayo.
 
Anapigania democrasia ya Tanzania ilindwe na kuzingatiwa
Alijua atachaguliwa kwenye nafasi ya uongozi wowote serikalini , so anamalizia hasira yake, but hana democracy yyt asingeweza kuwapa watu solex kama kweli Anapigania democracy pale wanapo mkosoa
 
Back
Top Bottom