Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Issue yenyewe iko hivi: Katika ugomvi wa Mange na Le Mutuz yote haya ni katika harakati za kurushiana makombora. Aliye kuwa mke wa Le Mutuz anae cousin yake anaeitwa Anita Magehema, Anita na huyo EmmaNkonoki walikulia chuo kikuu wote ni watoto wa maprofesa. Sasa Anita aligombana na Emma basi ndiyo vyote vimeingia kwenye ugomvi. Huku kugombana na kila mtu huku, hata adui yako humjui ni nani.