Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

[emoji28][emoji28] nakumbuka kipindi unaweka huu ubuyu nilikua nasoma kwa nje sijawa member nasema uyu Nifah mbona anajiamini kuhusu talaka ya mange na mange anasema hajaachika
 
[emoji28][emoji28] nakumbuka kipindi unaweka huu ubuyu nilikua nasoma kwa nje sijawa member nasema uyu Nifah mbona anajiamini kuhusu talaka ya mange na mange anasema hajaachika
Nina vyanzo vyangu 'vizito' vya habari.
Hadi ukiona nimeleta habari humu ujue nina uhakika na nikiandikacho.
DAIMA HUWA SIDANGANYI!
 
Ngoja nijifekerolishe halafu nirudi kwa kp, lemutuz na mange manake wote wameniblock
 
Ngoja nijifekerolishe halafu nirudi kwa kp, lemutuz na mange manake wote wameniblock
Fanya haraka kabla hujapitwaaaa.Kesho KP anarusha kombora takatifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenzangu tungekomaje?Jamani kipindi cha Lance mahaba yalivyokuwa motomoto ilikuwa balaa.

Kila siku lunch/dinner mahotelini.
Mapicha ndio usisemeeeee.
Hosp aliyojifungulia Keanu ndiyo aliyojifungulia Kim Kardashian uwiiiiii!
Hivi wazungu huwa hawalogeki akamwendea upareni
 
nimerudi wambea wenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miss unanichekeshaga sana.
Ipo siku nitakutafuta tupige story na umbea weeeee.
Nina hamu ya ule ubuyu wako uliotafuta mgane wakaja wazee....
Uwiiiiii huwa unanivunja mbavu sana.

BTW,tupo tunafanya countdown ya masaa...hilo bomu la KP litaniua mwenzenu!
Can't wait [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Samahani,nilikuwa busy kidogo.
Sasa nimeona PM yako,nakujibu soon.
Thanks.
anashindwa nini huyo na nilishampa hata email ya kutumia yaani nikikutajia id yangu ya insta utazimia hivi unakumbuka ila ya da linda ilifumaniwa ya vuzi pori? ahahaa
 
ahahaa you are a nice person too niffah lets enjoy the life my dear!
thanks for compliment ila najua wengi nawaboa humu wananichukia kweli
 
ahahaa you are a nice person too niffah lets enjoy the life my dear!
thanks for compliment ila najua wengi nawaboa humu wananichukia kweli
Me nakupenda Miss Natafuta na Nifah mpk nimewafollow wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…