Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji28][emoji28] nakumbuka kipindi unaweka huu ubuyu nilikua nasoma kwa nje sijawa member nasema uyu Nifah mbona anajiamini kuhusu talaka ya mange na mange anasema hajaachikaYeah,alikuwa akisema hivyohivyo haachiki mtu.
Uliona wapi Mpare akiachika?
Halafu akawa anadai tuweke uthibitisho maana Marekani huwa wanaweka talaka online.
Sijakaa sawa nikala ban,ila KP aliweka mambo kweupeeee few weeks later
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!Sitokaa nisahau ule ubuyu ulivyokuwa mtamu.
Kama sikupofuka macho kipindi kile kwa kushinda Insta sitokaa nipofuke tena.