Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Jamani mnisamehe nilikuwa naserebuka Inde huku nachungulia kwa KP.[emoji12][emoji12]
Sadly hadi sasa hajaweka bomu part 2 [emoji20][emoji20]
Niliona juujuu kwa Zarimondaily sijui yule....
Aaaarrrggghhh nimeshasahau.
Ila zitasambaa tu mtaziona.
hebu cheki vizuri bna nisipitwe mie
 
Haahaaa, Nifah bana! eti mapichapicha, uwiii mange kiboko akaenda mpaka kumchongea mtoto jino la bandia kisa ana pengo eti anaogopa hawata mchukua, looh! katoto kameng'oa jino kanazibwa na la bandia huyu mama ni shidah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana.
Menge kiboko aiseee
 
ile ni berti ya dildo au ni kidonge cha kuweka kwa papuchi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiii Miss sikuwezi!
Najua basi mama?
KP kasema ni dildo na mimi nimechukulia hivyohivyo.
Labda ni vile sijui hizo mambo sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiii Miss sikuwezi!
Najua basi mama?
KP kasema ni dildo na mimi nimechukulia hivyohivyo.
Labda ni vile sijui hizo mambo sana.
ahahaa sijui ni betri ile kumbe linachajiwa bana
 
Jamani mnisamehe nilikuwa naserebuka Inde huku nachungulia kwa KP.[emoji12][emoji12]
Sadly hadi sasa hajaweka bomu part 2 [emoji20][emoji20]
Niliona juujuu kwa Zarimondaily sijui yule....
Aaaarrrggghhh nimeshasahau.
Ila zitasambaa tu mtaziona.
Ngoja nikaangalie
 
Labda nikiachana na huyu wa sasa maana anaijua ID yangu na yupo humu.
[emoji24][emoji24][emoji24]

Lucky you darling,usijubali aijue,ni utumwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haahaaa shoga nilikuwa nakufuatilia tu kama umeaga kweli, umbea mtamu jamani mie nimejaza nyama maji tele ili isiungue leo wala siwazi habari ya ladha, looh! maskini msosi wa leo naona kama vile nieshaharibu kabla hata sijaivisha.
 
Mange kiboko alitangaza sana biashara ya madildo na mawaziri wake wakayaagiza kwa fujo kweli sijui aliwaloga mwenyewe alikuwa anayaita nake massage, . haa mpare kiboko mchafu si wa chupi tu mpaka li dildo anachomeka na kuchomoa na kuliacha chafu?! mweee watu wafundwe jamani mpyuuu, .
 
Haahaaa shoga nilikuwa nakufuatilia tu kama umeaga kweli, umbea mtamu jamani mie nimejaza nyama maji tele ili isiungue leo wala siwazi habari ya ladha, looh! maskini msosi wa leo naona kama vile nieshaharibu kabla hata sijaivisha.
ahahaaa yaani asubuhi niliweka maji jikoni nikasema nisome kp hadi yakaisha yote kidogo sufuria liungue nilitaka kupika uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…