witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Hee makubwa...nifah umeona sasa hivi kwa mange eti anajifanya katumiwa DM na shost gani sijui eti asiruhusu nyari kukaa karibu na wanae...basi kampaka mbayaaa madai asimchonganishe na ba kenzo..ptuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui itakuwaje kwakweli.Imagine una majukumu ya familia huku KP anatupia mabomu kama haya.