Bahati mbaya sijui sana mambo ya tag ila ukweli sitapenda kuiweka hapa. Kila mtu aitafute peke yake private kwa kuwa siamini kutunza siri ndiyo maana za Mange zikatoka nje.mtag huyu hapa chini aisome[emoji116] [emoji116]
Asante sana mpendwa wangu @ffg kwa uzuri tu kwa kuwa haina contents za maadili sitaweza kuiweka hapa. Ni kama vile na mimi ninashiriki kuanika ubaya au mabaya ya huyu mama. Ukweli ni kwamba kama kweli shoga yake alitumika katika kusambaza basi hata kilio cha watoto wa Mange cha kuishi bila wazazi wote nacho kitampata. Ukweli inatakiwa ukiwa na hiyo email iwe tu ni private hata kwa hapa. Sema binadamu tuko dhaifu sana katika kutunza siri za wenzetu na tunabaki kushabikia tu.umeisomea wp??nitumie km unaweza
noo problem I can understand u!!Bahati mbaya sijui sana mambo ya tag ila ukweli sitapenda kuiweka hapa. Kila mtu aitafute peke yake private kwa kuwa siamini kutunza siri ndiyo maana za Mange zikatoka nje.
poa poaa...nmekuelewaAsante sana mpendwa wangu @ffg kwa uzuri tu kwa kuwa haina contents za maadili sitaweza kuiweka hapa. Ni kama vile na mimi ninashiriki kuanika ubaya au mabaya ya huyu mama. Ukweli ni kwamba kama kweli shoga yake alitumika katika kusambaza basi hata kilio cha watoto wa Mange cha kuishi bila wazazi wote nacho kitampata. Ukweli inatakiwa ukiwa na hiyo email iwe tu ni private hata kwa hapa. Sema binadamu tuko dhaifu sana katika kutunza siri za wenzetu na tunabaki kushabikia tu.
muambie aitafute tatizo watu wanaishabikia the way mange anavyoshabikia ya wenzie tena ya siri kabisa that's why!but to be honest sio nzuri ile email in one way or another imemuumiza sana na inamuumiza mangeAsante sana mpendwa wangu @ffg kwa uzuri tu kwa kuwa haina contents za maadili sitaweza kuiweka hapa. Ni kama vile na mimi ninashiriki kuanika ubaya au mabaya ya huyu mama. Ukweli ni kwamba kama kweli shoga yake alitumika katika kusambaza basi hata kilio cha watoto wa Mange cha kuishi bila wazazi wote nacho kitampata. Ukweli inatakiwa ukiwa na hiyo email iwe tu ni private hata kwa hapa. Sema binadamu tuko dhaifu sana katika kutunza siri za wenzetu na tunabaki kushabikia tu.
Sure mkuu yaani nimesikitika sana. Sikuwa nimeiona hata kidogo. Nilipoingia leo thread hii nikaona wanazungumzia email ikabidi nitumie technology niipate. Yaani nimesoma na kurudia tena then nikajiuliza inakuwaje mtu ana expose maisha yake kiasi kile? Jua mambo ya mtandao mtu anaweza hack na ukapata shida pia na mwishowe wakiona ni nyeti ndiyo wanakutoa hela ili wasi blackmail. Nimejiimarisha zaidi kupitia sakata hili kumbe email imeletea talaka ya kufa mtu. So sad again Mange Kimambi.muambie aitafute tatizo watu wanaishabikia the way mange anavyoshabikia ya wenzie tena ya siri kabisa that's why!but to be honest sio nzuri ile email in one way or another imemuumiza sana na inamuumiza mange
ila mange nae alivujisha ya mwamvita toka kwa rostam azizNimeisoma email ya Mange kwenda kwa aliyekuwa shoga yake mkubwa Mwamvita Makamba. Nilichojifunza katika maisha usimuamini mtu yeyote yule kwa jambo lako ambalo unataka liwe siri. Hata kama awe mzazi hata mtoto. Cha msingi email ile mwanaume yeyote hawezi kuivumilia ni atakutaliki tu. Tujifunze kupitia kwa Mange kuwa hakuna kitu duniani kinaitwa mara shoga yako mara shostito mara sijui nini. Pamoja na ubaya wa Mange but ni wakati pia tunapofanya jambo la kukomoa tuangalie kwa mapana yake. So sad for the kids.
muambie aitafute tatizo watu wanaishabikia the way mange anavyoshabikia ya wenzie tena ya siri kabisa that's why!but to be honest sio nzuri ile email in one way or another imemuumiza sana na inamuumiza mange
Halo my Miss Natafuta kumbe walikuwa wanakomoana? Ya Rostam ilikuwaje tena na Mwamvita? Si unaona nimesema kabisa mambo ya ushoga mara ushostito ni kuachana nayo kabisa hayana tija katika maisha. Shoga awe wa maendeleo tu kumuuliza jinsi ya kupata clean money na ukishazipata pia hutakiwi kuwa mkweli wa hela na mali zako. Watu achana nao kabisa ni hatari mno.ila mange nae alivujisha ya mwamvita toka kwa rostam aziz
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja niende kwa mange[emoji125] [emoji125] [emoji125]
ngoja niitafuteHalo my Miss Natafuta kumbe walikuwa wanakomoana? Ya Rostam ilikuwaje tena na Mwamvita? Si unaona nimesema kabisa mambo ya ushoga mara ushostito ni kuachana nayo kabisa hayana tija katika maisha. Shoga awe wa maendeleo tu kumuuliza jinsi ya kupata clean money na ukishazipata pia hutakiwi kuwa mkweli wa hela na mali zako. Watu achana nao kabisa ni hatari mno.
teh jamani ngoja nikapige tizi naleta umbea[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja niende kwa mange[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duuu Kiki kweli walikuwa na mtifuano na Mange Kimambi na walikuwa ni Mashoga kwelikweli. Yaani sipati picha hizi hakika.ngoja niitafute
mwamvita sio alieilikisha
mume wa mange aliifuma
akaituma bongo kwa mume wa kiki amtafsirie
kiki ndo alieisambaza
ushawai kuona mtu anagombana na matroni wake ndoa haina hata mwaka? ahahaaa mange jamani??Duuu Kiki kweli walikuwa na mtifuano na Mange Kimambi na walikuwa ni Mashoga kwelikweli. Yaani sipati picha hizi hakika.
Yeah unaingia kwenye browser unaandika instagram.com itakuja unasign up user name yako na pass unaburudikaNaomba nielekeze hii
Kweli kabisaNimeisoma email ya Mange kwenda kwa aliyekuwa shoga yake mkubwa Mwamvita Makamba. Nilichojifunza katika maisha usimuamini mtu yeyote yule kwa jambo lako ambalo unataka liwe siri. Hata kama awe mzazi hata mtoto. Cha msingi email ile mwanaume yeyote hawezi kuivumilia ni atakutaliki tu. Tujifunze kupitia kwa Mange kuwa hakuna kitu duniani kinaitwa mara shoga yako mara shostito mara sijui nini. Pamoja na ubaya wa Mange but ni wakati pia tunapofanya jambo la kukomoa tuangalie kwa mapana yake. So sad for the kids.
alikua anadate nae kama sikosei!Halo my Miss Natafuta kumbe walikuwa wanakomoana? Ya Rostam ilikuwaje tena na Mwamvita? Si unaona nimesema kabisa mambo ya ushoga mara ushostito ni kuachana nayo kabisa hayana tija katika maisha. Shoga awe wa maendeleo tu kumuuliza jinsi ya kupata clean money na ukishazipata pia hutakiwi kuwa mkweli wa hela na mali zako. Watu achana nao kabisa ni hatari mno.
ila mwamvita ana mabuzi ya ukwelialikua anadate nae kama sikosei!
ushoga kama ule hapana kwa kweli!
Kuharibiana maisha kwa kweli
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ila mwamvita ana mabuzi ya ukweli
na yule mzungu wake wamedivorce nahisiila mwamvita ana mabuzi ya ukweli