Nimeisoma email ya Mange kwenda kwa aliyekuwa shoga yake mkubwa Mwamvita Makamba. Nilichojifunza katika maisha usimuamini mtu yeyote yule kwa jambo lako ambalo unataka liwe siri. Hata kama awe mzazi hata mtoto. Cha msingi email ile mwanaume yeyote hawezi kuivumilia ni atakutaliki tu. Tujifunze kupitia kwa Mange kuwa hakuna kitu duniani kinaitwa mara shoga yako mara shostito mara sijui nini. Pamoja na ubaya wa Mange but ni wakati pia tunapofanya jambo la kukomoa tuangalie kwa mapana yake. So sad for the kids.