Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Ilikua body cream hyo alikua anasema inauzwa dollar 200 ukikaa kidogo obagi mara mdogo wangu wema nae anatumia obag kipindi kile kajibleach mwili
Kumbe?Dollar 200 umekuwa mkorogo wa Zari?
Hivi ulionaga mkorogo waZari kipindi kile?
Hatari mama.
 
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
Haachiki mtuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cc geniveros
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sijui shogangu yule nae biashara zinamshinda kama mie!kila kitu anafeli maana umbea umemzidi balaaa!!
Wapi Bongolicious,Makeups,handbags sijui nini!
Yule umbea tu ndio anaouweza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi pia jini mauti kaniblock nlicomment kwa mily wanasomaga Walee!
hata sijali mi mange sipendi aniblock japo simkubali Ila ana uandishi flani amazing!
Kwa milly nimeblockiwa na lemutuz na lulu [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe?Dollar 200 umekuwa mkorogo wa Zari?
Hivi ulionaga mkorogo waZari kipindi kile?
Hatari mama.
Zari kwan anapaka mkorogo? si wanasemaga ndo ngozi yake afcast wa kihindi
 
Zari kwan anapaka mkorogo? si wanasemaga ndo ngozi yake afcast wa kihindi
Thubutuuuuuu!Mkorogo na filters juu.
Ukitaka kumjua Zari subiri siku akienda ktk event halafu apigwe picha na watu wengine wazirushe Insta.
Hayupo bomba kama umuonavyo kwa page yake.
 
Thubutuuuuuu!Mkorogo na filters juu.
Ukitaka kumjua Zari subiri siku akienda ktk event halafu apigwe picha na watu wengine wazirushe Insta.
Hayupo bomba kama umuonavyo kwa page yake.
Aisee bas mkorogo wake classic
 
Oooh kwa insta pia aliandika sijafatilia
Yeah,alikuwa akisema hivyohivyo haachiki mtu.
Uliona wapi Mpare akiachika?
Halafu akawa anadai tuweke uthibitisho maana Marekani huwa wanaweka talaka online.

Sijakaa sawa nikala ban,ila KP aliweka mambo kweupeeee few weeks later
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!Sitokaa nisahau ule ubuyu ulivyokuwa mtamu.
Kama sikupofuka macho kipindi kile kwa kushinda Insta sitokaa nipofuke tena.
 
Back
Top Bottom