Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Uwiiiiii uwanja wa vita ungenogaaaa!
Maana Mange tofauti na huo umama na Mwele alikuwaga shogake pia,lazima anayo tusiyoyajua kuhusu Mange.
Hatareeee [emoji39][emoji39][emoji39]
Umeona ee, hapo hasira zote atazitolea kwa Makonda, kwa hapa nimemuadmire madereva koz yupo kimya unlike mbeba mikoba ya mabosi le mutuz.
 
Asante kwa shot,mnanipa raha kinoma.
No time ya kupoteza kuingia Insta...mambo yote JF.
Ila jamani hii ikoje?
Mange akisema ataeleza ukweli (tofauti na vile wengi tunavyofahamu) itakuwaje?
Haoni kama ndio atazidi kumdhalilisha Mzee wake maana wadau wana hadi mikanda ya video baba yake akifanyiwa mbaya?
Maana endapo akikataa wadau wataweka hadi video clips (kama namuona KP heheheee)

Mange najua huwa unapita huku kusoma,achana na hii issue ya kuongelea unaouita ukweli kuhusu marehemu baba yako.
Wadau tumeshapotezea,ukiongelea hili utaifumua hii issue upya ambao walikuwa hawajui waujue ukweli wa mambo.
Period
Naona hakuelewa impact ya hicho alichotaka kufanya. Good thing ni kuwa ameweka chats zake na Anil akimtaka asifanye hivyo, ngoja niscreenshoot
 
1473423822303.png
1473423832549.png
1473423840960.png
Ngoma inanoga iisee, kumbe Mange akifunguka juu ya kilichomuua dingi yake kuna mambo mengine yatajulikana. Hapo ndipo ninapomuonaga mange mkurupukaji aisee. Na hy chat tutajuaje kama ni Anil kweli au just she is using jina la Anil kwenye simu nyingine kuondoa issue hii kijanja.?

Kama ye chizi amwage tu na sio kuona hivyo baada ya criticism alizopata
 
Ina maana James delicious anatoka na frank? Inawezekana but sidhani coz hawa mashoga wana tabia tu za kuwaganda wanaume wanaowapenda na kuwapost na kujicommentisha. Na yale madanga yao ya ukweli hawayapost unless mzinguane kwenye hela ndo atakulipua, wanalinda biashara lol. Na hata kama wanakulana, Frank angemruhusu delicious amuite hubby mbele za watu, mtu ana familia na reputation yake atakubali issue yao iwe open? Huyu delicious si ndo alikuwa anapost picha za jux na kumuita majina matamu matamu, ni sawa na yule mwingine alomganda Raymond wa WCB.
Na wewe umbea unaujua HS 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
1473425802533.png
1473425809271.png
Mange anaendelea kuweka convo zake na bonge Anil. Kwani kulikuwa na ulazima wa kufanya haya? Nilidhani ulikuwa ni utetezi wa watu tu walioshambuliwa naye kudai kuwa baba yao alijiua, now anatuthibitishia kuwa kweli alijiua duh,
 
  • mapya2@olivermut unajua watu why wanasema mange talaka imemchanganya ambapo ni kweli huko nyuma alikua hstukani mange kama kanywa gongo. alikua anakupa fact na evidence sasa kabaki matusii tena makali sio kuchanganyikiwa huko ambapo huyo unomtukana yeye hajasema hata tusi moja? na kuhusu yule beatrice nahisi wewe @olivermut mgeni inst au mgeni kumjua mange nitakutafutia post juu chini uone jinsi alivyokua anafundisha kupata wanaume wa maana match.com. anamtukana bure yule dada kweli kawauza na alijitolea mpaka jinsi ya kukuandikia eng ila umlipe au utumie credit card yake kwa walokua hawana ila atawCharge. ulizia vizuri sikurupuki tu mimi kumchamba na wewe huo ushauri wako kaishauri bahari why ina chumvi usijifanye mother tereza wakati mgeni tu kwenye hii ligi
 
Hii michambo unaitoa wapi mkuu
 
  • mapya2Mange Kimambi ukiambiwa una bipolar unatukana ovyo.. ulikuwa unamkubali sana Magufuli kiasi mpaka ulileta kashfa kwa mgombea urais wa Ukawa. sasa imekuaje tena huyu kipenzi chako ambae ulitoka CCM kwa kuwa sababu nchi inatokomea now umerudi sababu Magufuli mkali nchi itakaa sawa ghafla amekua dikteta? hayo kulia ni maneno yako mange ila wewe tatizo lako unakurupuka puuu kama mkojo wa chafya. ukiona jamii forum wanaua kuhusu Magufuli basi na wewe fata mkumbo. umesema mange Magufuli is exactly Tanzanian needed kwa hiyo tayari unajua kuwa Tanzania ilishaoza kitambo na akija huyu baba sababu mkali ataweka mambo sawa. sasa ndio kwanza ana mienzi sita unamuhesabia mauchafu yote ya Tanzania kama yeye ndio alipoingia ndio yameharibika . ukisema shule mbovu. ukosaji wa dawa. maji hamna umeme shida nk. kabla Magufuli hayo yalikuepo ndio yalotaka kukumbiza CCM Mange. Magufuli anayo mabaya yake ila the way unavyomsakama its too much kama vile una chuki binafsi sasa wezangu na mimi mfateni tu huyo mwenzenu mgonjwa huyo bipolar on fleek alikataa hata alomzaa
 
Huyu mwanamke mjanja na anawapata watu wengi.tangu alivyokanushwa kuachwa kwa tetezi za kp na akawa anakanusha.mpaka kp akaweka evidence simwamini kivile.sometimes anaongea points ila maswala ya umbea huwa anayatia chumvi mno.
 
Back
Top Bottom