Talaka

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Mwanaume: Rafiki yangu mi nataka mpatia mke wangu talaka.

Rafiki: Kwa nini tena?

Mwanaume: Kila nkirudi nyumbani nakuta kaficha mwanaume kwenye kabati la nguo.

Rafiki: Oh! Hiyo mbaya sana.

Mwanaume: Yaani nakosa nafasi ya kutundika nguo zangu kabisa.
 
Kwahiyo tatizo sio mwanaume bali kukosa nafasi kabatini ? Kwel huyu juha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…