X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Nov 25, 2010 #1 Mwanaume: Rafiki yangu mi nataka mpatia mke wangu talaka. Rafiki: Kwa nini tena? Mwanaume: Kila nkirudi nyumbani nakuta kaficha mwanaume kwenye kabati la nguo. Rafiki: Oh! Hiyo mbaya sana. Mwanaume: Yaani nakosa nafasi ya kutundika nguo zangu kabisa.
Mwanaume: Rafiki yangu mi nataka mpatia mke wangu talaka. Rafiki: Kwa nini tena? Mwanaume: Kila nkirudi nyumbani nakuta kaficha mwanaume kwenye kabati la nguo. Rafiki: Oh! Hiyo mbaya sana. Mwanaume: Yaani nakosa nafasi ya kutundika nguo zangu kabisa.
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Nov 25, 2010 #2 Kwahiyo tatizo sio mwanaume bali kukosa nafasi kabatini ? Kwel huyu juha.