mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Jana wana Mgambo wa Kitalabani waliitisha kikao chao cha kwanza na waandishi wa habari wa kimataifa kueleza jinsi watakavo uongoza serikali yao. katika vitu muhumu walivyo sema ni:
1. Utawaala wao uta heshimu haki za wanawake na watakua huru kuendana na sharia za Dini yao
2. Uhuru wa Vyombo vya habari utakuepo kwa kila mtu, bila kuathiri masilahi ya taifa lao
3. Hawatalipiza visasi kwa mtu yoyote, kwahiyo wamesamehe viongozi wote wa zamani
4. Afaghanisitani haita toa hifadhi ya waasi wowote kupigana na nchi nyingine.
5. Nchi ya Afaghanisitan haitaruhusu uuzaji wa narcotics (UNGA)