Sera hizo kuu 5 ndizo walizokuwa Nazi huko zamani. Ubora wa utawala wa taleban utategemea na Sera za nchi za kumagharibi kutoingilia utamaduni wa waafghani.
Utamaduni unaowapa Uhuru mdogo wanawake kufanya kila wanavyohisi vivhwani mwao. Hivyo usitegemee vigodoro, kamba moja, casino kuruhusiwa ktk utawalawa wa wataleban.
Watz ambao kwa kiasi kikubwa wamelisha propaganda nyingi wakihusishwa na utatili, uuwaji, ubakaji, uchinjaji kwa kundi la watalaban watajifunza mengi kutoka na utawalawa halisi wsheria za mola kutoka kwa talaban.