SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi.
Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais kakimbia na wanajeshi wamejisalimisha.
Funzo: Taliban waache kukopi na kupesti mbinu za Jeshi letu.
Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais kakimbia na wanajeshi wamejisalimisha.
Funzo: Taliban waache kukopi na kupesti mbinu za Jeshi letu.