Weye endelea tu kucheza madogoli na kulinganisha JWTZ na Taliban.Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania ( JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi.
Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais kakimbia na wanajeshi wamejisalimisha.
Funzo: Taliban waache kukopi na kupesti mbinu za Jeshi letu.
Hapana abdallah twalipoHaaa,,Mzee Mullah kacopy kwa Gen.Sarakikya!
Vijana wa dot com ukiwatajia Sarakikya au Msuguri hawamjui.
Labda Gen. Mboma ndio wanamjua kwa mbali.
Haina shida kukopi kikubwa wazingatie utawala wa sheria ili siku zajazo waondolewe kwenye orodha ya magaidi na kufadhili ugaidi ksma ambavyo tunavyoambiwa na Nchi za Magharibi.Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi.
Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais kakimbia na wanajeshi wamejisalimisha.
Funzo: Taliban waache kukopi na kupesti mbinu za Jeshi letu.