Taliban wapiga marufuku vitabu vyote vilivyoandikwa na wanawake

Watanzania walio wengi wameanza kuwaelewa wataliban
 
Kwa kinachoendelea Tanzania kuna namna naweza kushawishika na misimamo ya wataliban kuhusu nafasi ya mwanamke kwenye uongozi.
Mwenye tatizo ni Samia na sio wanawake wote jomba
 
Umesema vizuri in the church, sasa nyie uzombi wenu mnafanya kote hata kwa wasioamini katika dini ya huyo muarabu, mnalazimisha kila mwanamke.
Wao wameamua kumfuata Yesu kivitendo shida ipo wapi?
 
 
Ukasome na wagalatia 3:28 wanawake na wanaume wote ni sawa mbele za Mungu, ukisoma Biblia inahitaji umakini na kupitia nyaraka vizuri kuna akina esthe na debora hawa wote ni viongozi wakubwa na wamefanya mambo mengi kuna wakati waandishi wa Biblia akina mtume paul walizungumza kulingana na mawazo ya watu wkt huo wakivyoamini wakizingatia kwamba hilo jambo sio dhambi ila uelewa wa hao watu ni mdogo kwa wkt huu sasa ili kwenda nao inabidi uwachukulie jinsi wanavyoamini.
 

Kumbe pamoja na JF kufungiwa bado unaendeleza yale mambo yako ya uchonganishi wa dini huku illegally....
 
Kwa haya yanayoendelea nchini na kiongozi mwanamke wako sahihi
 
Kumbe pamoja na JF kufungiwa bado unaendeleza yale mambo yako ya uchonganishi wa dini huku illegally....

JF inahusiana vipi na upumbavu wa dini ya muarabu kufanya wanawake kuwa mazombi.
 
Wapi Yesu aliamuru wanawake wafanywe mazombi kama mnavyowfanya.
Kuna tofauti kubwa kati ya kumuhifadhi mwanamke na kumnyanyasa mwanamke.
Na kila jamii ina njia zake na utamaduni wake wa kumuhifadhi mwanamke.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kumuhifadhi mwanamke na kumnyanyasa mwanamke.
Na kila jamii ina njia zake na utamaduni wake wa kumuhifadhi mwanamke.

Mzee wa miaka 50 kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa ndio kuhifadhi gani huko.
 
Mzee wa miaka 50 kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa ndio kuhifadhi gani huko.
Je una uhusiano wowote na hicho katoto kadogo?
Mbona haijakuwa issue wakati huo, imekuwa tatizo wakati huu?
 
Je una uhusiano wowote na hicho katoto kadogo?
Mbona haijakuwa issue wakati huo, imekuwa tatizo wakati huu?

Katoto kokote duniani kanapaswa kulindwa hata kama sina uhusiano nako, yaani nikiangalia huku nje katoto ka miaka tisa kisha niwaze libabu la miaka 50 linakadinya napata kichefu chefu cha kutapikisha.
Mbaya zaidi libabu lenyewe linaabudiwa hadi leo licha ya uchafu huo
 
Je una uhusiano wowote na hicho katoto kadogo?
Mbona haijakuwa issue wakati huo, imekuwa tatizo wakati huu?
Wee jamaa so kama Hana mahusiano na hako katoto ndio ashabikie huo upumbavu wa Mijitu mizima kuoa vitoto vya miaka 9 !?

Hata ndege na wanyama Huwa Hawa waingilii Wanyama na ndege ambao Bado hawaja pevuka !? It means waislam Wana zidiwa Akili hata na wanyama / ndege !?
 
Mbona hamzungumzi kuhusu Isaka akiwa miaka 40 alipomuoa Rabeka alipokuwa na miaka 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…