Kwanza unapaswa kufahamu Mimi sio muumini wa dini yoyote Ile kati ya ukristo na uislam, Tukiachana Hilo kama huyo isaka nayeye aliwahi kufanya hivyo yeye na mudy wote ni washenzi tuMbona hamzungumzi kuhusu Isaka akiwa miaka 40 alipomuoa Rabeka alipokuwa na miaka 3?
Ni kweli ukisoma Biblia unahitaji umakini na kutumia akili kubwa naomba usome maneno ya Yesu yaliyonukuliwa katika injili ya Matayo 5:17-19Ukasome na wagalatia 3:28 wanawake na wanaume wote ni sawa mbele za Mungu, ukisoma Biblia inahitaji umakini na kupitia nyaraka vizuri kuna akina esthe na debora hawa wote ni viongozi wakubwa na wamefanya mambo mengi kuna wakati waandishi wa Biblia akina mtume paul walizungumza kulingana na mawazo ya watu wkt huo wakivyoamini wakizingatia kwamba hilo jambo sio dhambi ila uelewa wa hao watu ni mdogo kwa wkt huu sasa ili kwenda nao inabidi uwachukulie jinsi wanavyoamini.
Mbona hamzungumzi kuhusu Isaka akiwa miaka 40 alipomuoa Rabeka alipokuwa na miaka 3?
Lete maandiko alikuwa na umri gani?Huyo Isaka alimchukua huyo Rebeka wakati huyo binti amekwenda kuteka maji kisimani, hivyo kwa akili zako za kikobaz, mtoto wa miaka mitatu anakwenda kuteka maji kisimani? Huwa mnatumia vijisababu vya kijinga sana kutetea uchafu uliofanywa na hilo lizee lenu la kudinya katoto ka miaka tisa.
Lete maandiko alikuwa na umri gani?