Taliban Washerehekea Miaka 3 ya kuitwanga na kuifurusha Marekani nchini mwao

Hii ni chai ya kibena.
Au ulikuwepo kwenye kikao...?
Uliona hiyo picha...?
Au ni story kutoka Sinza kijiweni..?
 
Kwanini umeamua kuwa mwongo?

Talebani walifanya mazungumzo na marekani wakakubaliana kuachiwa nchi yao.

Marekani hakukimbia,walielewana.

Acha Uongo.
Kuelewana gani kule babu!!?..mpaka serikali kibaraka ilikimbia hovyo, marekani yenyewe acha silaha za $80b na wakikimbia hovyo kuondoka,pigana mabomu
 
Je, wewe binafsi unafurahia Utawala wa kidhalimu wa Hawa Watu ambao wamewapiga marufuku kabisa Wanawake wenzako huko Afghanistan wasifanye kazi yoyote ile zaidi ya kukaa ndani tu usiku kucha na mchana kutwa??
Propaganda za mashetani hizo, hakuna mwanamke aliye huru zaidi ya nwanamke wa Kiislam.

Au mwanamke kutembea uchi au nusu uchi kwenu ndio yupo huru? Huyo ni huriani sio huru.
 
Propaganda za nashetani hizo, hakuna mwanamke aliye huru zaidi ya nwanamke wa Kiislam.

Au mwanamke kutembea uchi au nusu uvhi kwenu ndio yupo huru? Huyo ni huriani sio huru.
Unaonaje ukaishi huko Afghanistan dada yangu kipenzi

Ova
 
Propaganda za nashetani hizo, hakuna mwanamke aliye huru zaidi ya nwanamke wa Kiislam.

Au mwanamke kutembea uchi au nusu uvhi kwenu ndio yupo huru? Huyo ni huriani sio huru.
Shule za sekondari za wasichana zimefungwa mpaka sasa. Wanaruhusiwa kusoma masomo ya dini tu sijui ni kweli?
 
Walivyotangaza Wamarekani ni Pakistan, Lakini ukweli ni kuwa Osama alishakufa kwa amri ya Mungu siku nyingi, Wamarekani wakatumia advantage ku act kama wamempata. Ulisikia wapi mtu anatolewa nchi kavu kwenda kuzikwa baharini?

Wamarekani waongo sana.
Pale Marekani ilitupiga na ktk ile operation waliotajwa kushiriki wote walianza kupotezwa ( Nahisi ilikuficha siri zaidi).

Hakuna aliye wasumbua Marekani kama Osama, kwa hali hiyo wangemdhalilisha sanaaa, kama Walivyo fanya kwa Sadam Hussein, camera kuanzia walivyomtoa pangoni na process zote za mahakamani hadi Kunyonga.
Osama wakasem waliweka siri kwa sababu za dini yake ambayo wao wanaipinga🤣.

Obama alicheza game ya kitoto sana.
 
Wamarekani wangeupinga uislamu wangepiga marufuku misikiti kujengwa
 
Bonge moja la story ila Lina uwongo ndani yake ? Hicho kikao cha trump na Taliban ni uwongo cjui kwann umeamua kudanganya
 
Osama alikuwa ajent wao CIA. Kila kitu kuhusu Osama kilikuwa Planned, kwa dunia ya sasa usifanye mchezo CIA ikusake kisha eti uchukue miaka yote wakukose, tena mtu ambae wana picha zako na wanakujua vizuri.
 
Wana akili kama, nguruwe, mijitu ina Ak47, lakini inaogopa ikiona mtoto wa kike akaenda shule! Inaogopa kuona nywele za mtoto wa kike, msichana,
Kama wanaweza wajenge nchi Yao, iwe kama Korea kaskazini,
Stupid fuckers
 
Walivyotangaza Wamarekani ni Pakistan, Lakini ukweli ni kuwa Osama alishakufa kwa amri ya Mungu siku nyingi, Wamarekani wakatumia advantage ku act kama wamempata. Ulisikia wapi mtu anatolewa nchi kavu kwenda kuzikwa baharini?

Wamarekani waongo sana.
Hata Pakistan wanafahamu huu ukweli ...
 
Hiyo labda ni Marekani ya Kibaigwa Mnadani ila sio Marekani ya USA.
 
Ndo kupigwa kwenyewe huko.
Sasa kama malengo yako ya kijeshi hayakufanikiwa kwa miaka 20 na umetumia zaidi ya dola trilion 8 na adui bado yupo sasa hapo umeshinda vita au umeshindwa vita?
Hebu acheni kujipa moyo hapa.

US amekaa Afghani miaka 20 hao Taliban mnaowasifia wakiwa wamejificha mashimoni. Baada ya US kuondoka Afghani, ndio hao Taliban wakaibuka, sasa hapo Taliban kampiga vipi US?!

Unaweza vipi kumpiga mtu asiyekuwepo? Kama US leo akiamua kurudi Afghani, hao Taliban automatically watarudi tena kule mashimoni walipokuwepo.

Acheni kuchekesha watu.
 
Wana akili kama, nguruwe, mijitu ina Ak47, lakini inaogopa ikiona mtoto wa kike akaenda shule! Inaogopa kuona nywele za mtoto wa kike, msichana,
Kama wanaweza wajenge nchi Yao, iwe kama Korea kaskazini,
Stupid fuckers
Nakazia
 
Wew nao unahangaika nn? Hawa magaidi koko ya humu yanaweza hata kukuambia Marekani anawaogopa Houthi.
 
Wew nao unahangaika nn? Hawa magaidi koko ya humu yanaweza hata kukuambia Marekani anawaogopa Houthi.
Wananishangaza wanaposema US ameshindwa na Taliban, wakati US akiwepo Afghanistan, hao Taliban hujificha mashimoni.

Sasa utajiitaje mshindi kama adui yako akija nyumbani kwako wewe huenda kujificha shimoni? kisha akiondoka ndio unaanza kuruka ruka umeshinda!

Hawa jamaa wakapimwe akili.
 
Madrasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…