100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mualiko kwenda Afghanistan kama Taliban wamekupa kadi ya sherehe."Mualiko wa nini na "usinisahau" kwani tunajuwana mimi na wewe? Toka lini hata leo iwe mara ya pili? Unanchekesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mualiko kwenda Afghanistan kama Taliban wamekupa kadi ya sherehe."Mualiko wa nini na "usinisahau" kwani tunajuwana mimi na wewe? Toka lini hata leo iwe mara ya pili? Unanchekesha.
Jeshi bila vifaa? Unataka wapigane kama masela wa Manzese?Hata hivyo USA walipata hasara kubwa sana. Jeshi la USA bila vifaa vyao ni wepesi, wanaouwawa Kizembe sana. Naona jeshi la Israel;inaweza kuongoza kwa kuwa makini sana, lioafuata la Rusia
Pa kuishi dunia hii ni popote anaponipangia Allah, nimeishi nchi nyingi sana kuliko unavyofikiria.Unaonaje ukaishi huko Afghanistan dada yangu kipenzi
Ova
Propaganda gani hasa wakati ukweli mchungu ni kwamba Wanawake wote kabisa waliopo nchini Afghanistan wamepigwa marufuku kabisa wasitoke nje ya Nyumba zao na wala hawaruhusiwi kabisa kwenda kwenye Ofisi kufanya kazi. Hata Ofisi za Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) yenye Wafanyakazi Wanawake yaliyopo huko Afghanistan yameamriwa aidha yawafukuze kazi Wafanyakazi wote Wanawake waliopo kwenye Mashirika hayo na kubaki na Wafanyakazi Wanaume tupu au Wafunge Ofisi zao na kuondoka nchini humo endapo kama hawataki kutii amri hiyo. Halafu Watu wa namna hiyo wewe unawafurahia???? Una roho ngumu kiasi gani wewe hadi usiwaonee huruma Wanawake wenzako wanaoteseka mateso makali kiasi hicho huko Afghanistan??? How the hell is that?Propaganda za mashetani hizo, hakuna mwanamke aliye huru zaidi ya nwanamke wa Kiislam.
Au mwanamke kutembea uchi au nusu uchi kwenu ndio yupo huru? Huyo ni huriani sio huru.
MBS Mungu amlaani atuwachie uislamu wetu.Hilo lisikupe shaka ni muda tu, mpaka sasa mazayuni hawajaqahi kupigana vita ndefu namna hii.
Mulla Omar wa Taliban waliwaambia mashetani wa kimarekani na mashoga zao, "tunakipenda kifo kama mnavyopenda kuishi, trunaishi na kifo".
Hawakumuelewa.
Maneno hayo yamerudiwa mara kadhaa na wapiganaji wa Hamas. Natumai mazayuni watawaelewa.
Huu ni mwisho wa uzayuni mashariki ya kati. MBS huko Saudia, mavi debe.
Wasioujua uislamu na thamani ya mwanamke ndio wanaoona mwanamke kufanya kazi maofisini ndio maendeleo.Mwanamke wa kiislamu hakatazwi kufanya kazi na kumiliki mali.Na kama hujui matajiri wengi wa kiislamu ni matajiri kuliko wanaume japo hawatangazwi kwenye Forbes.Propaganda gani hasa wakati ukweli mchungu ni kwamba Wanawake wote kabisa waliopo nchini Afghanistan wamepigwa marufuku kabisa wasitoke nje ya Nyumba zao na wala hawaruhusiwi kabisa kwenda kwenye Ofisi kufanya kazi. Hata Ofisi za Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) yenye Wafanyakazi Wanawake yaliyopo huko Afghanistan yameamriwa aidha yawafukuze kazi Wafanyakazi wote Wanawake waliopo kwenye Mashirika hayo na kubaki na Wafanyakazi Wanaume tupu au Wafunge Ofisi zao na kuondoka nchini humo endapo kama hawataki kutii amri hiyo. Halafu Watu wa namna hiyo wewe unawafurahia???? Una roho ngumu kiasi gani wewe hadi usiwaonee huruma Wanawake wenzako wanaoteseka mateso makali kiasi hicho huko Afghanistan??? How the hell is that?
It's that how stupid You're??😀😀Wana akili kama, nguruwe, mijitu ina Ak47, lakini inaogopa ikiona mtoto wa kike akaenda shule! Inaogopa kuona nywele za mtoto wa kike, msichana,
Kama wanaweza wajenge nchi Yao, iwe kama Korea kaskazini,
Stupid fuckers
Imran Khan kaondolewa madarakani na bunge kashtakiwa mahakamani na kukutwa na hatia ya kuhusika na vitendo vya rushwa na ubadhirifu.Jiulize kwanini Wamarekani na vibaraka wake wamemtowa madarakani Imran Khan na kumweka ndani mpaka leo?
Fanya japo utafiti kiduchu wa mtandao. Utapata jibu.
Nani alikuwa nyuma ya tukio, nitoe tongotongo.Obama ni kibaraka tu, aliwekwa picha tu pale.
Unaota. Mmarekani kadonyolewa kidogp kidpogo kwa miaka 20, mpaka katoka nduki. Mabishoo wale wataweza kupigana miaka 20? Wewe nawajua Maafghani lakini au unawasikia tu? wao futi sita ndio mfupi, ukiwatazama fupa la mikono lao lilivyo pana, sawa na mikono ta Watanzania watatu iunganishwe pamoja.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 akili zako hazija mature, marekani bado inaiongoza talibani. Na talibani ni simba asiye na meno
Matrix.Nani alikuwa nyuma ya tukio, nitoe tongotongo.
A madrasa is an Islamic school that focuses on teaching the Quran and Islamic law.Unafikra potofu sana, kwani elimu ya vyote ilitokea wapi kama siyo madrasa?
Soma kijana, wachana na mihemko ya kijinga.
Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma.
Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo baada ya Wamarekani kuwashmabili na kuwataka kuiondowa serikali ya wanafunzi (Taliban) kwa mabavu baada ya Taliban kukataa katakata kumsalimisha Osama BinLaden kwa "kosa amablo hawalijui" kwa usemi wao.
Marekani kwa kujimwambafai wakapeleka majeshi yao wakishirikiana na Majeshi ya Uingereza na NATO nzima. Taliban wakasema hatujawahi kushindwa na yeyote duniani na Afghanistan haijawahi kutawaliwa na nchi yoyote ya nje toka iumbwe dunia, haitotokea hilo kwenye utawala wetu.
Taliban Wakatimiza hilo baada ya miaka 20 ya kuwanyuka Wamarekani na NATO nzima. Licha ya Wamarekani na NATO kuwa na voifaa vya kisasa na zana za teknolojia bora kabisa za kivita,Taliban walikuwa wanawatandika kiaina yake na ushujaa wa hali ya juu, huku wakisema silaha ni sisi wenyewe saiyo hizo toys zenu.
Taliban walitumia silaha za kujiundia wenyewe na wanazoziteka kutoka majeshi ya Marekani na NATO. Wakawatembezea kichapo Wamarekani mpaka Wamarekani wakati wa Obama wakapiga marufuku vyombo vya habari kuonesha picha za masandauku ya maiti ya wanajeshi wao zinazorudi kutokea Afghanistan.
Matokeo, Wamarekani wakakiri kushindwa kimya kimya kwa kutoka nduki na kuwacha nyuma silaha na vifaa vinavyokadiriwa kua na thamani ya US Dollars Billion 7.
Kishujaa na kwa kutamba kabisa, juzi na kila mwaka kuanzia wapate ushindi, wamefanya sherehe za paredi kwa vifaa vya kijeshi na silaha za Wamarekani.
Jionee sherehe hizo...
View: https://youtu.be/RZYZONPhqZ8?si=uW2_4Ky2GXXaBw2g
Walimuuza kwa CIAPakistan ndio walikuwa wafadhili wa Taliban, ilikuwaje akauawa nchini kwao?