Taliban Washerehekea Miaka 3 ya kuitwanga na kuifurusha Marekani nchini mwao

Hata hivyo USA walipata hasara kubwa sana. Jeshi la USA bila vifaa vyao ni wepesi, wanaouwawa Kizembe sana. Naona jeshi la Israel;inaweza kuongoza kwa kuwa makini sana, lioafuata la Rusia
Jeshi bila vifaa? Unataka wapigane kama masela wa Manzese?
 
Unaonaje ukaishi huko Afghanistan dada yangu kipenzi

Ova
Pa kuishi dunia hii ni popote anaponipangia Allah, nimeishi nchi nyingi sana kuliko unavyofikiria.

Naamini kazi au shughuli zinazoniweka nilipo kwa wakati fulani ni mpangilio wa Allah, siyo wangu.
 
Propaganda za mashetani hizo, hakuna mwanamke aliye huru zaidi ya nwanamke wa Kiislam.

Au mwanamke kutembea uchi au nusu uchi kwenu ndio yupo huru? Huyo ni huriani sio huru.
Propaganda gani hasa wakati ukweli mchungu ni kwamba Wanawake wote kabisa waliopo nchini Afghanistan wamepigwa marufuku kabisa wasitoke nje ya Nyumba zao na wala hawaruhusiwi kabisa kwenda kwenye Ofisi kufanya kazi. Hata Ofisi za Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) yenye Wafanyakazi Wanawake yaliyopo huko Afghanistan yameamriwa aidha yawafukuze kazi Wafanyakazi wote Wanawake waliopo kwenye Mashirika hayo na kubaki na Wafanyakazi Wanaume tupu au Wafunge Ofisi zao na kuondoka nchini humo endapo kama hawataki kutii amri hiyo. Halafu Watu wa namna hiyo wewe unawafurahia???? Una roho ngumu kiasi gani wewe hadi usiwaonee huruma Wanawake wenzako wanaoteseka mateso makali kiasi hicho huko Afghanistan??? How the hell is that?
 
MBS Mungu amlaani atuwachie uislamu wetu.
 
Wasioujua uislamu na thamani ya mwanamke ndio wanaoona mwanamke kufanya kazi maofisini ndio maendeleo.Mwanamke wa kiislamu hakatazwi kufanya kazi na kumiliki mali.Na kama hujui matajiri wengi wa kiislamu ni matajiri kuliko wanaume japo hawatangazwi kwenye Forbes.
Muhimu ni kuwa kazi zao na ubinifu wao haufanywi kwa njia za kuchanganyiko bila mpango na wanaume.Angalia nchi ya Iran jinsi inavyozalisha bidhaa nyingi zinaoztengenezwa na wanawake kwenye maeneo yao na nyingi zinaingia mpaka ikulu za Marekani na Tanzania na kupamba misikiti yetu.
Kuchanganyika wanawake na wanaume ndio kumeleta janga la talaka katika kila eneo duniani na kupunguza idadi ya watu makini na wenye heshima.Watu wanagombana ovyo na kuzaliwa majitu yanayobakana.
Huwezi kufanikiwa popote pindi ukienda kinyume na maamrisho ya aliyetuumba.na anayetujua zaidi kuliko tunavyojihisi sisi wenyewe.
 
Wana akili kama, nguruwe, mijitu ina Ak47, lakini inaogopa ikiona mtoto wa kike akaenda shule! Inaogopa kuona nywele za mtoto wa kike, msichana,
Kama wanaweza wajenge nchi Yao, iwe kama Korea kaskazini,
Stupid fuckers
It's that how stupid You're??😀😀
 
Jiulize kwanini Wamarekani na vibaraka wake wamemtowa madarakani Imran Khan na kumweka ndani mpaka leo?

Fanya japo utafiti kiduchu wa mtandao. Utapata jibu.
Imran Khan kaondolewa madarakani na bunge kashtakiwa mahakamani na kukutwa na hatia ya kuhusika na vitendo vya rushwa na ubadhirifu.

 
Katika dunia hii hawa ndio watu pekee wanaoweza pambana na marekani wakashinda wengine wote ni maneno tuu na utapeli.
Long live the talibans.
Love or live afghanistan!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 akili zako hazija mature, marekani bado inaiongoza talibani. Na talibani ni simba asiye na meno
Unaota. Mmarekani kadonyolewa kidogp kidpogo kwa miaka 20, mpaka katoka nduki. Mabishoo wale wataweza kupigana miaka 20? Wewe nawajua Maafghani lakini au unawasikia tu? wao futi sita ndio mfupi, ukiwatazama fupa la mikono lao lilivyo pana, sawa na mikono ta Watanzania watatu iunganishwe pamoja.
Nani alikuwa nyuma ya tukio, nitoe tongotongo.
Matrix.
 

Attachments

  • 1724277382795.png
    23.4 MB · Views: 1
Kichekesho
Hicho kitakua cha chooni, vidume vya shoka vinasherehekea.
. Walitandikwa milimani mpaka awamarekani wakawa wanavunga wanapigwa na ma giant na mavitu ya kiajabu ajabu ya mapangoni.

Unalijuwa hilo?
 
Samahani me si mtu wa ku comment sana but naomba ni comment hapa....kwenye upande wa siraha mbona naona high quantity of Russian Military Rocket and Missile.......kwa Marekani naona tu American truck(magari tu) labda kama kwa siraha za kawaida naamini wanazo za Marekani. Hiyo migari yenye mabomu mingi ya Russia
 
Sawa mtu wa vita.
Naskia Taleban wamechoka kukaa ofisini wanataka vita.

Uwache tu tabia zako za kulialia watu wako wanapo uliwa wakati wa vita.
 
Allah bariki magaidi yatukomeshee miungu watu kama USA na Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…