Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

Labda uniambie wanawake kuzuiwa kuendesha magar sawa au kuzuiwa kusoma sawa na hizo ni itikadi na sio sheria za kiislamu

Lkn wanawake kujistiri mnaona shida? Ovyoo kabisa
 
Kwa nini walazimishwe kujifunika gubigubi??
 
Hao mapoyoyo kutembea uchi kama wanyama kwao ndiyo wanadanganywa ustaarabu.
Wapuuzi sana hawa,,huyo mwanaume ukimuuliza akikutana na mwanamke aliyevaa uchi na aliyejistiri,je mwanamke gani atamshawishi kumuangalia na hata kugeuza shingo,jibu ni moja aliye vaa nusu uchi.
 
Labda uniambie wanawake kuzuiwa kuendesha magar sawa au kuzuiwa kusoma sawa na hizo ni itikadi na sio sheria za kiislamu

Lkn wanawake kujistiri mnaona shida? Ovyoo kabisa
lakini uvaaji huo hapana kwa kweli wanakua kama majini. sura zao zionekane wavae kama wanawake wengine wanavyovaa wa kiislamu kawaida.
 
Hicho kinachofanyika ni ushetani. Unaongea vitu ambavyo ni vya kufikirika. Hivi mwanamke uso wake usipofichwa maana yake yupo uchi? Mwanamke mikono yake isipofichwa ina maana yupo uchi? Nyayo na miguu yake isipofichwa maana yake yupo uchi? Kwa hiyo hawa wanawake wote wanaotembea nyuso zao zikiwa wazi, pamoja na Rais wetu Samia, kwa upotofu uliouleta hapa, maana yake wawanatembea uchi?

Kama kweli huo ushetani umeandikwa kwenye Quran, basi kuna walakini mkubwa kama hicho kitabu kilitoka kwa Mungu wa kweli. Ujue miungu ipo mingi, ila Mungu Yahwe, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, ni mmoja tu, naye ni Mungu wa upendo, Mungu wa Msamaha, na ni Mungu wa huruma, si mwepesi wa hasira. Naye ameturithisha upendo huo huo tuwatendee wanadamu wenzetu kama tunataka kuishi ndani ya ufalme wake.
 
Wapuuzi sana hawa,,huyo mwanaume ukimuuliza akikutana na mwanamke aliyevaa uchi na aliyejistiri,je mwanamke gani atamshawishi kumuangalia na hata kugeuza shingo,jibu ni moja aliye vaa nusu uchi.
Sheikh, kwani kuna shida kugeuza shingo kumtazama mwanamke, kupendezewa naye au hata kumtamani kwa uzuri wake unaovutia??
 
lakini uvaaji huo hapana kwa kweli wanakua kama majini. sura zao zionekane wavae kama wanawake wengine wanavyovaa wa kiislamu kawaida.
Sheria ya dini inasema mwanamke mwili wake wote ni uchi kasoro uso na viganja vya mikono,,kwahiyo wakiacha hivyo ni sahihi

Ila naona taliban wameenda mbali kidogo,anyway sio mbaya sana,wakiwa majumbani kwao wanajiachia tu
 
taliban wakorofi hawa bwana 😃
 
Sheikh, kwani kuna shida kugeuza shingo kumtazama mwanamke, kupendezewa naye au hata kumtamani kwa uzuri wake unaovutia??
Ndio kuna ubaya ndio mwanzo wa fitina,kama umempenda fuata taratibu muoe
 
Wanachokifanya Taliban ni sahihi kabisa kulingana na mafunzo ya dini sahihi ya kiislamu na ndivyo ilivyokuwa wa wakati wa mtume na watawala wa mwanzo walioongoza Dola ya kiislamu baada ya kufa mtume.
Usahihi hautokani na walichokifanya enzi za mtume au walioongoza dola ya kiislamu, Usahihi unatakiwa utokane na logic na wakati wa sasa tuliopo, wakati huo unaoongelea hata utumwa ulikuwa ni sahihi tu, kwa hiyo tuendeleze utumwa??
 
Wamsrekani na mazayuni na NATO yao baadab ya kubamizwa na Taliban wamebaki na maneno ya kipuuzi tu.

Wao Afghanistanistan inawahusu nini?
 
Usahihi hautokani na walichokifanya enzi za mtume au walioongoza dola ya kiislamu, Usahihi unatakiwa utokane na logic na wakati wa sasa tuliopo, wakati huo unaoongelea hata utumwa ulikuwa ni sahihi tu, kwa hiyo tuendeleze utumwa??
Sheria za dini hazina usasa boss,hiyo siyo katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…