Dini ya haki ya mnyazi munguSerikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita "matukio machafu."
Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema kuwa kuona Wanawake wakifanya kazi jikoni au wakikusanya maji kwenye visima kunaweza kusababisha matendo yasiyofaa hivyo kupitia amri hiyo inawataka Wamiliki wa Majengo kuhakikisha kuwa Majengo mapya hayana madirisha yanayoelekea kwenye maeneo hayo, aidha Majengo yenye madirisha kama hayo yanahimizwa kufungwa au kuwekwa kuta.
Tangu kurudi madarakani Agosti 2021, Taliban imeendelea kutoa maagizo yanayozuia ushiriki wa Wanawake katika maisha ya umma ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku elimu ya sekondari kwa Wasichana, ajira kwa Wanawake na hata sauti zao kusikika hadharani kupitia nyimbo au mashairi.
MillardAyoUPDATES
Hisia zako za pull utapata wapi??waacheni nao wana roho na matamanio kama wengineHuu ndiyo uislam ninaoujua mimi,na bado kuna vingi vya kupiga marufuku, hata mwanamke kuonekana hadharani ni haramu,ngoja tuchimbe zaidi.
Mwisho watatunga Sheria kwamba Mwanamke hastahil kuwep Dunian anatakiwa awahishwe akawe mojawapo ya bikra huko kuzimu.Huu ndiyo uislam ninaoujua mimi,na bado kuna vingi vya kupiga marufuku, hata mwanamke kuonekana hadharani ni haramu,ngoja tuchimbe zaidi.
Basi wangewakata viungo hao wanaotamani badala ya kuwahukumu watu wote kwa makosa ya wachacheSerikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita "matukio machafu."
Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema kuwa kuona Wanawake wakifanya kazi jikoni au wakikusanya maji kwenye visima kunaweza kusababisha matendo yasiyofaa hivyo kupitia amri hiyo inawataka Wamiliki wa Majengo kuhakikisha kuwa Majengo mapya hayana madirisha yanayoelekea kwenye maeneo hayo, aidha Majengo yenye madirisha kama hayo yanahimizwa kufungwa au kuwekwa kuta.
Tangu kurudi madarakani Agosti 2021, Taliban imeendelea kutoa maagizo yanayozuia ushiriki wa Wanawake katika maisha ya umma ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku elimu ya sekondari kwa Wasichana, ajira kwa Wanawake na hata sauti zao kusikika hadharani kupitia nyimbo au mashairi.
MillardAyoUPDATES
Islamu kwa vitendoSerikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita "matukio machafu."
Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema kuwa kuona Wanawake wakifanya kazi jikoni au wakikusanya maji kwenye visima kunaweza kusababisha matendo yasiyofaa hivyo kupitia amri hiyo inawataka Wamiliki wa Majengo kuhakikisha kuwa Majengo mapya hayana madirisha yanayoelekea kwenye maeneo hayo, aidha Majengo yenye madirisha kama hayo yanahimizwa kufungwa au kuwekwa kuta.
Tangu kurudi madarakani Agosti 2021, Taliban imeendelea kutoa maagizo yanayozuia ushiriki wa Wanawake katika maisha ya umma ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku elimu ya sekondari kwa Wasichana, ajira kwa Wanawake na hata sauti zao kusikika hadharani kupitia nyimbo au mashairi.
MillardAyoUPDATES
Wengi ni magonjwa ya akili ila watabisha. Kuna hao na wale wanaoshinda mitandaoni wanaongelea habari za bikra na kwamba eti ndio thamani ya mwanamke.Dunia hii inavituko sana, Wanawake hawa ni mama zetu wanatulea matumboni na utoto wetu mpak tunakuwa vijana nakua watu wazima.
Halafu tunapokuwa watu wazima tunaona hawana thamani kabisa, tunaanza kuwawekea sheria za ajabu ajabu, unaweza kudhani ni mifugo fulani hivi.
Yani tunawamiriki hawa wanawake ni mali zetu?
Kwanini binadamu tunakuwa wabinafsi kiasi hiki na kuondoa utu wa wenzetu bila kufikiria na kujali hata kidogo?