Taliban yapiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanaangalia maeneo waliyopo wanawake kama jikoni

1733633486508.jpg
 
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita "matukio machafu."

Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema kuwa kuona Wanawake wakifanya kazi jikoni au wakikusanya maji kwenye visima kunaweza kusababisha matendo yasiyofaa hivyo kupitia amri hiyo inawataka Wamiliki wa Majengo kuhakikisha kuwa Majengo mapya hayana madirisha yanayoelekea kwenye maeneo hayo, aidha Majengo yenye madirisha kama hayo yanahimizwa kufungwa au kuwekwa kuta.

Tangu kurudi madarakani Agosti 2021, Taliban imeendelea kutoa maagizo yanayozuia ushiriki wa Wanawake katika maisha ya umma ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku elimu ya sekondari kwa Wasichana, ajira kwa Wanawake na hata sauti zao kusikika hadharani kupitia nyimbo au mashairi.

MillardAyoUPDATES
Dini ya haki ya mnyazi mungu
 
Huu ndiyo uislam ninaoujua mimi,na bado kuna vingi vya kupiga marufuku, hata mwanamke kuonekana hadharani ni haramu,ngoja tuchimbe zaidi.
Hisia zako za pull utapata wapi??waacheni nao wana roho na matamanio kama wengine
 
Taliban wanafanya tusahau matatizo ya nchi yetu, dunia iangalie namna ya kuwasaidia
 
Msishangae watalebani Tu,angalia hata kwenye haya majukwaa watu wa Ile Imani. Michango Yao na mada zao,utagundua NI balaa. Hawa wangekua wengi,wanawake wangepigwa STOP kuingia period 😂😂😂😂
 
Huu ndiyo uislam ninaoujua mimi,na bado kuna vingi vya kupiga marufuku, hata mwanamke kuonekana hadharani ni haramu,ngoja tuchimbe zaidi.
Mwisho watatunga Sheria kwamba Mwanamke hastahil kuwep Dunian anatakiwa awahishwe akawe mojawapo ya bikra huko kuzimu.
 
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita "matukio machafu."

Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema kuwa kuona Wanawake wakifanya kazi jikoni au wakikusanya maji kwenye visima kunaweza kusababisha matendo yasiyofaa hivyo kupitia amri hiyo inawataka Wamiliki wa Majengo kuhakikisha kuwa Majengo mapya hayana madirisha yanayoelekea kwenye maeneo hayo, aidha Majengo yenye madirisha kama hayo yanahimizwa kufungwa au kuwekwa kuta.

Tangu kurudi madarakani Agosti 2021, Taliban imeendelea kutoa maagizo yanayozuia ushiriki wa Wanawake katika maisha ya umma ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku elimu ya sekondari kwa Wasichana, ajira kwa Wanawake na hata sauti zao kusikika hadharani kupitia nyimbo au mashairi.

MillardAyoUPDATES
Basi wangewakata viungo hao wanaotamani badala ya kuwahukumu watu wote kwa makosa ya wachache
 
Naungana na taliban kwa hili,kwanini uchungulie wanawake wakiwa jikoni

Kumbuken mwanamke anapokuwa anapika chakula achokipenda hujiachia sana
 
Uongozi wa Taliban nchini Afghanistan umekuja na sheria nyingine kali sana ya kuwataka wanaojenga nyumba wahakikishe hawaelekezi madirisha mahali ambapo wataweza kuwaona Wanawake wakiwa majikoni, Sebuleni, au popote pale

Aidha Taliban imeendelea kwa kusema kuwa hata waliojenga nyumba tayari zenye madirisha ya kuelekea palipo na Wanawake wanapaswa kuvunja na kuelekezea kwingine ili kuepuka Uovu

Ikumbukwe pia kuwa Wataliban walipitisha Sheria ya kutomtaka Mwanamke YEYOTE kusoma na kupata Elimu ya Duniani, Ila apate Elimu Akhera tu.

Hakika Uislam mzuri, unaheshimisha dunia kwa kusisitiza stara na Adabu kwa Mwanamke...hii sheria iwapate pia Wagalatia / Wakiristo

WABILLAH TAWFIQ
 
Attachments

  • 20241231_175538.jpg
    20241231_175538.jpg
    172.2 KB · Views: 2
Taliban wako sahihi kwa maelezo ya kiislamu na ya Mtume Mohamad na Allah kwenye Quran

Kwenye uislamu hata kuzaliwa mwanamke imepigwa marufuku, akizaliwa mwanamke ni kama laana. Lakini ajabu anaetakiwa kuzaa ni mwanamke.

Walipiga marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe, yaani ni marufuku binti kuongea na mama yake, ni marufuku mwanamke kuchungulia dirishani akaonekana na mtu mwingine. Mwanamke ni marufuku kutoka njee, ni marufuku mwanamke kuongea na mtu mwingine yoyote isipokua mumewe tu.

Uislamu sio mchezo.
 
Dunia hii inavituko sana, Wanawake hawa ni mama zetu wanatulea matumboni na utoto wetu mpak tunakuwa vijana nakua watu wazima.

Halafu tunapokuwa watu wazima tunaona hawana thamani kabisa, tunaanza kuwawekea sheria za ajabu ajabu, unaweza kudhani ni mifugo fulani hivi.

Yani tunawamiriki hawa wanawake ni mali zetu?

Kwanini binadamu tunakuwa wabinafsi kiasi hiki na kuondoa utu wa wenzetu bila kufikiria na kujali hata kidogo?
 
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita "matukio machafu."

Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid alisema kuwa kuona Wanawake wakifanya kazi jikoni au wakikusanya maji kwenye visima kunaweza kusababisha matendo yasiyofaa hivyo kupitia amri hiyo inawataka Wamiliki wa Majengo kuhakikisha kuwa Majengo mapya hayana madirisha yanayoelekea kwenye maeneo hayo, aidha Majengo yenye madirisha kama hayo yanahimizwa kufungwa au kuwekwa kuta.

Tangu kurudi madarakani Agosti 2021, Taliban imeendelea kutoa maagizo yanayozuia ushiriki wa Wanawake katika maisha ya umma ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku elimu ya sekondari kwa Wasichana, ajira kwa Wanawake na hata sauti zao kusikika hadharani kupitia nyimbo au mashairi.

MillardAyoUPDATES
Islamu kwa vitendo

View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1874908521793229303
 
Wawaue Sasa...inatosha....wakishabughia mihadarati huko huko wanakuja na sheria kandamizi
 
Dunia hii inavituko sana, Wanawake hawa ni mama zetu wanatulea matumboni na utoto wetu mpak tunakuwa vijana nakua watu wazima.

Halafu tunapokuwa watu wazima tunaona hawana thamani kabisa, tunaanza kuwawekea sheria za ajabu ajabu, unaweza kudhani ni mifugo fulani hivi.

Yani tunawamiriki hawa wanawake ni mali zetu?

Kwanini binadamu tunakuwa wabinafsi kiasi hiki na kuondoa utu wa wenzetu bila kufikiria na kujali hata kidogo?
Wengi ni magonjwa ya akili ila watabisha. Kuna hao na wale wanaoshinda mitandaoni wanaongelea habari za bikra na kwamba eti ndio thamani ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom