Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kipele kimempata mkunajiTaarifa za muda mfupi uliopita
Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote kuondoka nchini humo kuanzia leo
BBC
Subiri wanakuja!View attachment 1906330
Daaah! Kutokula hii kitu watu husababisha ukatili
Taarifa hii niya uingo. Hembu isikikize BBC vizuri.Taarifa za muda mfupi uliopita
Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo
Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao
BBC
Ndo maana RAIA walikuwa wanakimbia!Taarifa za muda mfupi uliopita
Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo
Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao
BBC
Taarifa za muda mfupi uliopita
Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo
Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao
BBC
Huwajui taliban weweutawala wa taliban ni kama wa ccm tu
Wamesha Anza Mambo yaoTaarifa za muda mfupi uliopita
Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo
Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao
BBC
Raia wote wakiondoka watamtawala Nani?Ndo maana RAIA walikuwa wanakimbia!
Kwann sasa wanawalazimisha kubaki?
Ndiyo wanataka ufikirie hiviHaya magaidi ya kiarabu yameathiriwa na kitabu chao