Taliban yapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kufanya kazi kwenye UN

Taliban yapiga marufuku wanawake wa Afghanistan kufanya kazi kwenye UN

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo

Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “ marufuku hiyo haikubaliki wala haiwezekani”. Msemaji wa UN, Stephane Dujarric amewaambia wanahabari kwamba, ”Huu ni mwenendo wa kutisha wa karibuni zaidi katika kuhujumu uwezo wa mashirika ya kutoa misaada kuwafikia wenye shida.

Katika miezi ya karibuni, Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi wake kwamba marufuku hiyo huenda ikawekwa na Taliban. Januari mwaka huu, naibu katibu wa UN Amina Mohammed aliitembelea miji kadhaa ya Afghanistan kama vile Kabul, Kandahar na Herat akiandamana na ujumbe wa ngazi ya juu, ili kuzungumza na maafisa wa Taliban kuhusu hatua kadhaa zinazohujumu haki za wanawake na wasichana.

Wanawake nchini humo hawaruhusiwi huhudhuria masomo wala kufanya kazi mbali na wanakoishi.

=============

Taliban Ban Afghan Women from Working for UN

Taliban officials in Afghanistan have informed the United Nations they are banning women from working for the organization in Afghanistan, the U.N. said Tuesday about the group’s latest edict restricting the rights and movements of women in that country.

“For the [U.N.] secretary-general [Antonio Guterres], any such ban would be unacceptable and frankly inconceivable,” U.N. spokesman Stephane Dujarric told reporters. “This is the latest in a disturbing trend undermining the ability of aid organizations to reach those most in need.”

The U.N. had expressed concern in recent months that this particular ban would come.

In January, Deputy Secretary-General Amina Mohammed went to the Afghan cities of Kabul, Kandahar and Herat with a high-level delegation to speak with Taliban officials about a series of decrees that have eroded the rights of women and girls, particularly on going to school and university and working outside the home.

Some aid groups suspend work

On December 24, 2022, the Taliban banned Afghan women from working with domestic and international aid groups. Some international nongovernmental organizations suspended their work after the decree. The U.N. feared at the time that international organizations would be next, which now appears to be the case.

“We are still looking into how this development would affect our operations in the country, and we are expecting to have more meetings with the de facto authorities tomorrow in Kabul to seek more clarity,” Dujarric said.

An initial statement from the U.N. Assistance Mission in Afghanistan, known by its acronym UNAMA, expressed “serious concern that female national U.N. staff members have been prevented from reporting to work in Nangarhar province.”

Dujarric said the organization had not been notified in writing of the ban but was told “through various conduits” that the edict applies to Afghan women working for the U.N. across the country, not just in Nangarhar province. As of Tuesday, UNAMA told him that Afghan female staff members were still continuing to work in other parts of Afghanistan. It was not clear when the ban would go into effect across the country.

There was no immediate public comment from the Taliban on the move.

Female staff critical to UN, say officials

Both UNAMA and Dujarric were explicit in stating the critical value of female staff to the smooth continuation of U.N. operations on the ground.

“Obviously, given the society and culture, you need women to deliver aid to women,” Dujarric told reporters, adding that the U.N. is engaging the de facto authorities.

The World Food Program estimates that nearly 20 million Afghans are acutely food-insecure, including more than 6 million people on the brink of famine-like conditions.

The U.N. has nearly 4,000 staff members in Afghanistan, of which about 3,300 are Afghan nationals. Among them are about 400 Afghan women and 200 international female staffers.

Source: VOA
 
Waku, hii ni hatari sana. Kama Nchi za ki-Afrika zipo kwenye kundi la dunia ya 3, basi Nchi huenda ipo kundi la 5.
 
Dunia italalama tu hakuna wa kuwafanyakitu taleban.

Marekani imeshapatana na hao magaidi na wakawarejesha madarakani.
 
Dini ya mnyaazi,full kujitenga,na kujiripua mabomu ndio kitu wanachojua zaidi.
 
Hivi ni kweli amani haiji ila kea ncha ya upanga
images-64-jpeg.2576986
 

Attachments

  • images (64).jpeg
    images (64).jpeg
    58.3 KB · Views: 21
Safi sana serikali ya tariban hakuna kuruhusu wafanye kazi kwenye mashirika ya kimchongo kama UN.
 
Back
Top Bottom